Huku sasa kumeingilika na nini?

Huku sasa kumeingilika na nini?

Ha haa we cha kufanya tu be careful na espy sitaki nikuone nae. Kaboom kaninong'oneza jambo juu yenu sasa sitaki bp sahizi wajua vile nilivo na wivu juu yako
Mimi tena hata siku hizi simqoute kisa tu unenepe mamy.

Halafu haujaninon'goneza avatar ujue
 
Nusu ya unaowakumbuka usikute wanahusika na makinikia so wanaumwa presha!!! Robo yao tayari wameshakua wahenga. Hebu jipime na ww
 
Hujui Mello aliwekwa rumande na zikatafutwa ID za watu humu, wenzio wameponea chupuchupu kutekwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] l
 
Mimi tena hata siku hizi simqoute kisa tu unenepe mamy.

Halafu haujaninon'goneza avatar ujue
Eeh bora kabisa ukae nae mbali mambo ya kunidanganya ndugu yako huku mnakulana staki kusikia utanisababishia kuua bure

Avatar hiyo takunong'oneza chumbani baba ukiwa umenipakata like a baby
 
Eeh bora kabisa ukae nae mbali mambo ya kunidanganya ndugu yako huku mnakulana staki kusikia utanisababishia kuua bure

Avatar hiyo takunong'oneza chumbani baba ukiwa umenipakata like a baby
[emoji3][emoji3][emoji8][emoji8]
Hivi unajua you're funny?
 
[emoji3][emoji3][emoji8][emoji8]
Hivi unajua you're funny?
Unadhani wahenga walikosea kusema ukikaa karibu na waridi lazima unukie baby?

Nimeadopt toka kwako. Huko nyuma wala sikua hivi he hee

Usisahau tu kuniletea chokoleti mwenzio
 
Unadhani wahenga walikosea kusema ukikaa karibu na waridi lazima unukie baby?

Nimeadopt toka kwako. Huko nyuma wala sikua hivi he hee

Usisahau tu kuniletea chokoleti mwenzio
Na kweli upo romantic hadi bailojia yangu imekurupuka.

Nitakuletea dumu zima ulambee
 
Na kweli upo romantic hadi bailojia yangu imekurupuka.

Nitakuletea dumu zima ulambee
Sio nilambe tu sema tufanyie na ile kazi nyingine swetie

Hiyo baiolojia yako iwahishe chumbani nakuja kutoa huduma ya kwanza,usipate tabu wakati mie niko baba
 
Eeh bora kabisa ukae nae mbali mambo ya kunidanganya ndugu yako huku mnakulana staki kusikia utanisababishia kuua bure

Avatar hiyo takunong'oneza chumbani baba ukiwa umenipakata like a baby
Kwa hiyo umeamua uniringishie sio??
 
Mi nakumiss kila sek kila dk mama mtoto
Hivi kweli ndio umegoma kunisamehe kabisaaaaa!!!
Nisamehe basi nawe uingie mbinguni.
Alafu yaani unisamehe vyote vyote[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom