Sema tu una sh ngapi nikuunganishe nae jiraniWala usijali jirani..Mi na Daby hatudhuriani..Avatar yako imenibariki btw
Teh teh...Fanya hivyo jirani..Pesa ya kutumia Tz ipo..Sema tu una sh ngapi nikuunganishe nae jirani
Jirani huo utaratibu wa wapi...Malipo ni baada ya kazi bana...Unashida na espy??
Mvalishe chupi ya chuma mmeo kwanza ndo umpe espy hizo salaam apeleke
Ooh kumbe wanaweza kulana wao kwa wao eehMvalishe chupi ya chuma mmeo kwanza ndo umpe espy hizo salaam apeleke
Espy ana mshape balaa...Anavutia na kushawishi..Na Daby alivyo mkware atataka waunganishe vikojoleo...Taadhari muhimuOoh kumbe wanaweza kulana wao kwa wao eeh
Ilibaki kidogo tu anizidi ujanja usingetokea ungekuta manyoyaYaani nilichopanga kumfanya nilijua mmeshachenjuana
Yaani wew mwanamke unavyojua kunidanganya haya nitafanyaje sasa na you're my weakness.Ilibaki kidogo tu anizidi ujanja usingetokea ungekuta manyoya