GE2025 Huko CCM hakuna mwenye akili kidogo hata mmoja?

GE2025 Huko CCM hakuna mwenye akili kidogo hata mmoja?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sifa ya MwanaCCM yeyote( ukiacha Warioba, Gwaji,Humphrey na wengine wachache sana) ni UNAFIKI,UCHAWA na UJINGA..ngoja bi Chura KIZIWI awazamishe
 
Wakati unamtafuta kiongozi wa kusema wasichome vitu anza na kiongozi aliyekataa kuwasikiliza vilio vyao mpaka wakaingia kuchoma vitu.

Hawakuchoma vitu kabla kwa nini wachome sasa? Ukiona hivyo wamefika tamati ya uvumilivu, wanahitaji kutumia mbinu itakayowafanyeni mjitafakari na kujua wamefika mwisho, mbinu gani ya kutumia hiyo wanachagua wao kama hiyo ya kuchoma na nyinginezo na mtegemee zaidi iwapo mkizidi kushupaza makomwe

Kiburi mwenzake jeuri umeipata, ndipo tunapata hasira hasara.

Mliwaacha waishi na hasira bila kuwapa wanachotaka sasa vuneni hasara.
sasa wewe na serikali nani anajua kiini cha maadamano? wewe umekuja tu katikati hujui nani kaanziasha kwa kusudi gan
 
sasa wewe na serikali nani anajua kiini cha maadamano? wewe umekuja tu katikati hujui nani kaanziasha kwa kusudi gan
Najua huna akili hivyo uliamini kuwa ni raia wa nje, hivyo unajidanganya sababu hazijulikani na raia,

Wewe mwenye bichwa lisilo na ubongo, walioanzisha maandamano ni watanzania, walioandamana ni watanzania kutokana na kunyimwa haki za msingi kwa muda wa miaka 60+ tangu uhuru mpaka leo.

Mfano wa haki hizo ni pamoja na kupata haki ya kuchagua na kuongozwa na viongozi wanaowataka kwa kutokuwepo kwa uchaguzi huru na haki. Kitu ambacho mabosi wako hawataki sababu wanajua hawana watu wanaowataka na haki nyingine kadha wa kadha
 
20251023_065859.jpg
 
Akili za nn ccm ikiwa mwenyekt tu mwenyewe alilamba zero matokeo ya form 4!.
 
Najua huna akili hivyo uliamini kuwa ni raia wa nje, hivyo unajidanganya sababu hazijulikani na raia,

Wewe mwenye bichwa lisilo na ubongo, walioanzisha maandamano ni watanzania, walioandamana ni watanzania kutokana na kunyimwa haki za msingi kwa muda wa miaka 60+ tangu uhuru mpaka leo.

Mfano wa haki hizo ni pamoja na kupata haki ya kuchagua na kuongozwa na viongozi wanaowataka kwa kutokuwepo kwa uchaguzi huru na haki. Kitu ambacho mabosi wako hawataki sababu wanajua hawana watu wanaowataka na haki nyingine kadha wa kadha
walivokua wanashinda kina lema na mbowe kipindi icho hamkulia haki saaahv ndo mnajua haki zaidi
 
karibuni sana ulingon, btw nlitegemea mlivoambiwa kulala saa kumi na mbili mngeongeza fujo kumbe mlikua mmejikunyata ndan kama sio nyie 😂
Umedhihirisha kukosa akili kwako kwa hicho ulichoandika hapo sababu ni mawazo ya kitoto ya mtu ambaye akili yake haijakomaa au haipo kabisa, huna akili kabisa
 
Mungu anajua kwanini yanatokea haya,
 
Umedhihirisha kukosa akili kwako kwa hicho ulichoandika hapo sababu ni mawazo ya kitoto ya mtu ambaye akili yake haijakomaa au haipo kabisa, huna akili kabisa
we mwenye akili ingia ulingon fanya fujo
 
Hivi huko CCM hakuna mwenye akili hata kidogo! Hata mmoja anayeweza kushauri mambo ya msingi na kuacha kufanya ujinga ambao unaliangamiza Taifa?

Ndiyo, nawauliza nyie sababu Hatuna Serikali nchi imeshikwa na CCM pamoja na vyombo vyake vya dola ambavyo navyo vinatia shaka iwapo wapo watu wenye akili hata kidogo.

Hivi hakuna anayeweza kuwashauri kuwa Taifa lilipofika halitishwi kwa Kesi za Ugaidi, uhaini sijui uchochezi bla bla?

Achilia mbali matamko ya vitisho, sasa hata risasi au bunduki imeonekana haiwezi kuwatia watu woga na kuwanyong'onyesha wakubali ujinga wenu.

Ingekuwa risasi zinaweza basi sasa hivi nchi ingekuwa kimya au ingekuwa inasifu na kuabudu ila kila mtu anamkataa aliyejipa Urais na watu wake wote tena bila kificho.

Hivi hakuna mwenye akili hata kidogo, hata mmoja awaambie wajinga wengine huko CCM kuwa mnakoelekea ni kuipeleka nchi kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe Vita ambayo ni mbaya sana ambayo kupata Suluhu yake huwa kazi ngumu maana hujenga visasi kwa vizazi na vizazi?

Basi tufanye CCM wote huko na viongozi wenu ni wajinga mmekutana, hivi hata kale ka ubinadamu kadogo hamna ka kujua kuwa kwa sasa mioyo ya watu ina maumivu kila mnachofanya chenye kuleta maumivu kinaweza lipua bomu ambalo bado halijamalizikia kuzima?

Kwa kuwa mnaonekana kabisa hamna akili, basi mnajua na Raia hawana pia ndiyo maana mnapambana kugeuza ukweli dhahiri kuwa uongo mnaotaka nyie kwa faida zenu?

Acheni ujinga basi, shaurianeni, kama yupo mwenye akili kidogo shauri na kama hayupo basi ombeni ushauri kwa Raia mtapata ushauri ambao utakuwa wa kuliponya Taifa.
Mungu anawaumbua kidogokidogo kama sehemu ya kuwaonya,waliolibomo taifa kwa furaha wakiwa na mamlaka makubwa wameanza kujutia na kujitenga na aliyewatuma,mmoja baada ya mwingine,hasa wakwenye mihimili.Ila ni muda wa kuchelewa kutaka kujitenga na uovu walioujenga na kuulinda hadi sasa unaanza kuliangamiza taifa!
 
Ukiona basi ulilopanda dereva analiendesha vibaya hali inayoonesha ajali iko karibu kwa nini usishuke iwapo mmemshauri hawasikili?
Wana maslahi na hilo basi. Waliojaribu kushuka kwe ye hilo basi walitishiwa maisha ama kupokonywa maslahi yao ambayo yanawafanya waishi kwa anasa. Wakanyanyua mikono na kurudi basini. Mifano hai ni
1. Frederick Sumaye
2. Edward Lowassa
3. Mgana Msindai
4. Bakari Mwapachu
5. Njellu Kasaka
6. Lawrence Masha
7. Steve Wassira nk.
Orodha ni ndefu sana
 
Back
Top Bottom