Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,017
9,885
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.

Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.

Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
 
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu

Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia

Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Wanavuna walichokipanda. Wakadai pesa zao chato
 
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu

Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia

Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Please naomba tuwajue hao wahariri ambao ni ma-expert wa kutukana watu. Wahariri hao ndio waliokuwa wanatoa na kuhariri maudhui ya kudhalilisha watu hasa viongozi ambao walikuwa wanajaribu kukosoa serikali. Naomba muwataje tuwajue.
 
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu

Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia

Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Pay Master Wake KAENDA ZAKE
 
Wana lipwa karama waliyo itumikia. Hivi habari walizo kuwa wana weka kwenye magazeti yao ya kufungia ugoro zilikuwa na maana kwa Taifa? Walikuwa wana hariri nini zaidi ya habari xa uchochezi?
Baada ya Watanzania kugunfua ni wapuuzi magazeti hayaku nunuliwa. Sasa atoe wapi pk esa.
Hiyo imekula kwenu wapuuzi nyie
 
Back
Top Bottom