Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

sasa si uivunje muda huu? kwanini unasubiri asubuhi?,
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL
 
jamaa anaota huyu hapa nilipo natumia huo mtandao wa TTCL ... napa 4LTE-ADV ina kasi ya kufa mtu nchi nzima hakuna mtandao mwingine wenye 4LTE-ADV hao akina voda,tigo ni 4G ya kawaida tu
 
TTCL wao ndio wamiliki wa mkongo wa taifa wa fiber, nashindwa kuelewa kwanini wako slow?

Ni kwel nadhani awajawekeza kwenye minara ya kutosha so baadhi ya maeneo inakua shida sana kwenye network sasa inatemea mfano mimi dar sehem nilipokua nakaa line zote zinasoma kwa kasi kubwa sana bila shida leo niko geita sehem niliyopo nikikaa ndani ya nyumba voda aisomi network alafu watu siku izi si wanakimbizana na bando nafuu hapo ndo shida ahahahahahahaha swala la network sio bongo hata ulaya
 
Hawa majamaa ni wahuni sana hawa yaani nimejiunga GB 10 ili nipakue vitu vangu chaajabu network ipo slow kama kinyonga.
Kesho asubuhi aflajiri na mapema naivunjavunja laini yao kwa meno yangu.
Uzi tayari.
TTCL

Dah nilijua ni mm peke yangu imenikuta hii juzi tu hapo aseeh nilikasirika mnoo mpaka asubuhi hakuna nilichokamilisha kupakuwa
 
Back
Top Bottom