Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

Ila watu sijui tunafail wapi mtu analalamika kuhusu network mwisho wa siku ana be attacked kutokana na simu anayotumia,huu ni ujinga.Ttcl wanasumbua mno kuna maeneo ukifika hata line haisomi kabisa,me mwenyew nilishawishika nao na situmii tecno lakin tatizo linanikuta pia.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwani nani kakulazimisha utumie ttcl? Tumia wengine ni haki yako, acha kulia lia kama mtoto.
 
Mashirika yetu yamekuwa yakipitia changamoto nyingi sana,unajiuliza serikali imeshindwa kuajiri vijana wachapa kazi kama waliopo sekta binafsi,sasa shirika hapo wanajihujumu au wanahujumiwa?
 
Sijui nyie mnaishi maeneo gani, au devices zenu zina shida gani. Natumia TTCL na sijaona hiyo shida hata mara moja.
 
Si kama nawafanyia promo ila nipo safarini maeneo ya Kihurio (nadhani ni wilaya ya Same), kiukweli jana nimeweza kuangalia full mechi Wolv. V/s Leicester bila shida kupitia TTCL na sasa naperuzi bila shida, nikitaka kununua kifurushi nanunua kupitia T pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom