Hudhuria msiba

1993? Are you for really bruh???

Ulikuwa na shida gani miaka hiyo hata mastress nadhani hayakuwa makubwa kama hivi leo?
Nilikuwa nina shida ya kichwa daktari akawa ananiandikia diazepam daily ikafika mahali siwezi kulala bila kupata hiyo dawa.... Nilianza na kimoja nikafika mahali nikawa nakula tatu... Halafu nikaanza cocaine....! its a true revelation

Jr
 
Mshana Jr. Teja duh!

Kama umesevu msaidie mambinu na rozi muhando achomokemo!

Hudhuria msiba iko siku watu watahuhuria wa kwako!
Hudhuria msiba uone maana nawe ikimpendeza Mungu akakupa mwisho mwema ndivyo utakuwa ukiombolezewa!

Hudhuria msiba ujifunze kulia pamoja na waliao isije ikaja siku ukajikuta hata jinsi ya kulia hujui ukaishia kumtukana maulana.

HUDHURIA MSIBA
 
Nilikuwa nina shida ya kichwa daktari akawa ananiandikia diazepam daily ikafika mahali siwezi kulala bila kupata hiyo dawa.... Nilianza na kimoja nikafika mahali nikawa nakula tatu... Halafu nikaanza cocaine....! its a true revelation

Jr
Cocaine tena mkuu, were you still a teenager miaka hiyo? Mbona mapema hivyo kuanza mihadarati?
 
Tulikuja duniani uchi, tutaondoka uchi bila chochote, tukizingatia hilo, dunia itakua mahali salama pa kuishi.
 
Back
Top Bottom