Hudhuria msiba

Ni kweli mkuu haya maneno.. Lakini Mi sielewagi sijui kwanini Yale maneno yanayosemwaga pale huwa yana gusa Sana hisia, mpk unasema Leo mwisho . Lakini ukishageuka tu tumesahau kabisa.. Hivi ni Mimi tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunasahau kwa sababu akili zetu zinakwenda kutafuta chanzo cha kufa kwa marehemu, ukishapata sababu tu huzuni yote inakwisha. Unasahau kuwa kila nafsi itaonja umauti
 
Sikutaka kusoma kitu kama hiki usiku huu, i needed something to enlighten my heart...damn it!!!
 
Alikuwa na depression nadhani so akawa anazitumia kama antdepresant ,mwanzon alikua anachoma diazepam lakini baadae akawa anachoma ketamine kabisa ( hii ni dawa ya nusu kaputi wakat wa opareshen) basi majuzi alivyochoma ndio hakuamka. Very sad aisee Last seen yake wasap ijumaa saa kumi ,í don believe..

Sent using Jamii Forums mobile app
Rip

Jr
 
mhubiri 7:2
afadhali kwenda kwenye nyumba ya msiba kuliko kwenda kwenye nyumba ya karamu,
kwa kuwa kifo ni hatima ya kila mwanadamu,imewapasa walio hai kuliweka hili mioyoni mwao.
7:4
Moyo wake mwenye hekima umo nyumbani mwa matanga, bali moyo wake mpumbavu umo nyumbani mwa furaha.
Maneno mazito makali kama ya kitabu cha Mithali

Jr
 
Back
Top Bottom