Kulewa wakati wa misiba ni tabia mbaya iliyotukuka

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari.wakuu,

Husika na kichwa tajwa hapo juu,

Niende moja kwa moja kwa mada yetu ya Hawa walevi ambao wanalewa mpaka mosibani Tena bila aibu..

Picha linaanzia pale wanapokuwa wanaanza safari, yaani barabarani wanabeba mapombe kibao.

Wanakunywa na kulewa kama wehu huko ndani ya magari na wanaongea maneno ya kipumbavu sana..

Yaani utakuta watu wamefiwa na wazazi wao baada ya kukaa na kujitafakari juu ya msiba wa wazazi wao wao ni kulewa.

Tena wanalewa palepale katika mkusanyiko wa msiba, yaani ni aibu iliyopitiliza kwa Hawa watu.

Wengine wanasogea karibu na bar zilizo karibu na msiba huo wanatwanga maji yaani pombe ka hawana akili nzuri.

Msiba ni wakati wa kujitafakari, unakumbushwa kuwa sikumoja na wewe utafariki na usiwepo Tena...

Msiba ukitokea unatakiwa ujipe nafasi ya kukaa na kuomba toba, maana hujui siku Wala saa utakayofariki.

Neno linanasema mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache.

Pia linazidi kutuonya kuwa tujifunze kuhesabu siku zetu za kuishi Duniani.

Tabia ya kulewa msibani ni mbaya sana, watu waache kabisa.

Neno linanasema mwanadamu aliyeumbwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache.

Pia linazidi kutuonya kuwa tujifunze kuhesabu siku zetu za kuishi Duniani.

Tabia ya kulewa msibani ni mbaya sana, watu waache kabisa.

Donatila
Ila nimekuja kugundua watu wanahudhuria misibani kuondoa lawama na pia ikikukuta watu wasikususie. Lakini hamna kuomboleza kutoka moyoni. Utakuta ni mastori tu na kuvizia misosi. Na hii haileti picha nzuri. Kwenye misiba wanaohuzunika kwa kweli ni wale wapendwa wa karibu kabisa wa marehemu.
 
Ila nimekuja kugundua watu wanahudhuria misibani kuondoa lawmakers na pia ikikukuta watu waikususie. Lakini hamna kuomboleza kutoka moyo. Utakuta ni mastori tu na kuvizia misosi. Na hii haileti picha nzuri. Kwenye misiba wanaohuzunika kwa kweli ni wale wapendwa wa karibu wa marehemu.
 
Back
Top Bottom