Wazee wa flagships, SAMSUNG washafanya yao huko, S10 - series Tayari

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,261
2,000
NOTE: Kwa attachment ambazo hazifunguki nenda chini kidogo baada ya uzi( kwenye comments) utakuta picha kwa mtiririko huo huoo,


HUU NDIO MZIGO WALIOTOA SAMSUNG Huko San Francisco Marekani Katika MWC2019(Mobile World congress) Mda huu, kwe utambulisho wa simu zao bora za mwaka 2019, kumbuka mkutano huu hufanyika mara moja kwa mwaka na ndio unatoa muelekeo wa soko la simu bora dunianii, Simu hizo ni S10, S10e, S10+ na S10 5G

jbareham_190213_3183_0081_S10_s10_.jpeg
Screenshot_20190220-231912_Chrome.jpeg

Screenshot_20190220-232648_Chrome.jpeg

Screenshot_20190220-232503_Chrome.jpeg

Screenshot_20190220-231808_Chrome.jpeg
Screenshot_20190220-233200_Chrome.jpeg
Ni safari ya miaka 32 tangu simu ya kwanza ya mkononi ilipogundulika na kuanza kutumika, na si mwingne ni Nokia,


Hebu tukumbe kidogo tulikotoka.

HII NDIO SIMU YA MKONONI YA KWANZA.

Ilikua ikiitwa Nokia Mobira Cityman 900 ya mwaka 1987,
View attachment 1027269

HII NDIO SMARTPHONE YA KWANZA.

Ilikua ikiitwa IMB Simon personal Communicator,
Ilitengenezwa na kuanza kutumika mwaka 1992, lakini jina smartphone lilianza kutumika mwaka 1995 na ndio ikawa ya kwanza kupewa jina hilo.
View attachment 1027273

HII NDIO SIMU YA KWANZA KUA NA CAMERA.

Ilikua ikiitwa J-SHO4 kutoka katika kampuni ya SHARP,
Ilitengenezwa na kuanza kutumika mwaka 2000 huko Japani
View attachment 1027282

HII NDIO SIMU YA KWANZA YA 3G.

ilikua ikiitwa NTT DoCoMo kutoka Japani mwaka 1998 na kusambaa mwaka 2001
View attachment 1027288

HII NDIO SIMU YA KWANZA KUA NA FRONT/ SELFIE CAMERA.

ilikua ikiitwa Sony Ericsson Z1010,
View attachment 1027292

HII NDIO SIMU YA KWANZA YA 4G.

ilikua ikiitwa HTC evo ya Mwaka 2010 View attachment 1027298

HII NDIO SIMU YA KWANZA YA SAMSUNG

Ilikua ikiitwa SH-100 na ilitengenezewa korea mwaka 1988
View attachment 1027303

HII NDIO SIMU YA KWANZA YA APPLE/IPHONE

Ilikua ikizinduliwa na steve Jobs mwaka 2007 na huyu taratibu ndio alianza kumpa tabu NOKIA
View attachment 1027307


HII NDIO ANDROID YA KWANZA,

Kwa mara nyingne inatoka kutoka kampuni ya HTC, Niliitwa HTC Dream, ilikua mwaka 2008
View attachment 1027313

FIRST IPHONE/iOS vs First Android View attachment 1027314

Hio ilikua historia fupi ya tulikotoka, haya twende na mda sasa.

Kumekua na mapinduzi kama si mageuzi makubwa sana ya teknolojia ya simu,

Samsung na IPhone Kinachowalinda mpk sasa ni brand tuu ila ki ukweli wanasumbuliwa sana na Wachinaa, sana sanaaa, Hasa HUAWEI na Oneplus wamewashika pabaya sana kwenye soko la ulayaa na hawa wengene wanakuja taratibuu.

Kwenye camera kwa sasa hakuna anayemkuta GOOGLE PIXEL 3,

Baada ya kusumbuana sana kwenye Camera, Ram na storage
Mwaka 2017 ulikua mwaka ambao upinzani mkubwa kwa watengenezaji wa smartphones ni kupunguza bezel/Margin iliyopo pembezoni mwa screen ya simu ili kua na screen to body ratio kubwa. Kwa ufupi hii inasaidia kua na simu yenye kioo kikubwa lakini umbo la kawaida la nje ya simu, kitu ambacho Iphones walishindwa kwa miaka mingi hivyo kufanya simu zao kukosa mvuto
View attachment 1027322

Makampuni mengi ya simu km samsung, Oppo, huawei, infinixy, oneplus, Google pixel n.k wakajitahidi kupunguza sana hii margin hasa kwa kusukuma juu kbsa front camera, LED indicator, flash, earpiece n.k
Samsung wakaamua kutoka kwenye S7 kuondoa Jina samsung juu ya simu na home battan chini ya simu kwenye S8. View attachment 1027330 ili kuongeza eneo la screen bila simu kua kubwa sana, Wakaendelea hivyo hivyo mwaka 2018 kwenye S9.

iphone naye akachoka kusemwa akaja na iphone X series, ambazo aliamua aondoe ile home batan
View attachment 1027368

Mwaka 2018 ndio Wachina wakawashika pabaya Samsung na Iphone,

Xiaomi mi mix 3 na Oppo find X ndio wakashika namba moja kwa Most bezzeless display smartphones in the world,
Hii Xiaomi mi mix ambayo selfie camera yake ni ya ku slide kwa nyuma View attachment 1027554 View attachment 1027556

Na hii ni Oppo find X S ambayo camera yake imejificha, ila ukigusa tu camera icon ndani ya nusu sekunde inakua ishachomoza na kupiga picha View attachment 1027555

Hivi kuna aliyewahi kuwaza ya kua itafika hatua simu itakosa earpiece? Namaanisha speaker hio hapo juu ya simu yako kwa ajili ya kusikiliza calls na ukaweza kuwasiliana tena kwa ubora zaid ya ukiwa na speaker?,
Basi si mwingne n mchina, Amegundua teknolojia inayoitwa "SCREEN SOUNDCASTING", "PIEZOELECTRIC TRANSDUCER", "SOUND ON DISPLAY " vyovyote utakavyotaka kuiita sawa tuuu, ila hapa kinachofanyika ni display inabadilishwa/tumika kama speaker, yaani baada ya kua na speaker ya kutoa sauti kutoka ndani, basi kioo kinatumika kupokea Midundo(vibrations) ya saut kutoka ndani kuja nje halaf inaibadilisha tena kuja katika sauti ya kawaidaaa( Kumbuka sauti/sounds it's all about vibrations, refer WAVE fm4 na Advance) na wewe unaisikia kwa ubora mkubwa zaid ya speaker ya kwaida, imeshafanyiwa majaribio na wataalam wamejiridhsha haina madhara yyt na tunavyozungumza hivi Tayari Simu za XIAOMI MI MIX na Vivo Nex S zinatumia hii teknolojia

Vivo Nex View attachment 1027551

Xiaomi mi mix
View attachment 1027553

Leo hii ndio mkutano mkubwa wa uzinduzi wa simu zitakazo tamba mwaka 2019, mkutano huu unahusisha makampuni makubwa ya simu duniani na ambayo ubora wa bidhaa zao zinathibitishwa na GSM arena na kupewa kibali cha kuuzwa dunia nzima(kwaio TECNO huwakuti hapa) mkutano huu unaitwa MWCB2019 yaani MOBILE WORLD CONGRESS IN BARCELONA 2019, lakini mwaka huu samsung atafanyia San Francisco Huko Marekani, mkutano huu unafanyika kila mwaka na utachukua week nzima huku kila yule akipata mda wa kujinadi
Ni mwaka ambao tutaona
Simu ya kwanza ya 5G,
Simu za in display fingerprint,
Simu zisizo na headphone jack,
Simu unayoweza kuikunja/foldable phones,
Simu zenye Ram ya 12GB na storage ya 1TB,
Simu zisizotumia physical sim cards


UPDATES ZINAENDELEA.
 

Attachments

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,261
2,000
Hizo attachments kama hazifungukia basi ndio hizi hapa zote kwa mtiririko ule ule kasoro mbili za mwisho mana imefika limit

Simu ya mkononi ya kwanza,
Screenshot_20190220-134720_Google.jpeg


Smartphone ya kwanza,
Screenshot_20190220-135108_Google.jpeg


Simu ya kwanza kua nacamera,
Screenshot_20190220-135759_Google.jpeg


Simu ya kwanza ya 3G,
Screenshot_20190220-142605_Google.jpeg


Simu ya kwanza yenye front/selfie camera
Screenshot_20190220-140741_Gallery.jpeg


Simu ya kwanza ya 4G,
Screenshot_20190220-143234_Google.jpeg


Simu ya kwanza kutoka samsung,
Screenshot_20190220-144442_Google.jpeg


Simu ya kwanza kutoka Apple/iphone,
Screenshot_20190220-144956_Google.jpeg


Simu ya kwanza ya android,
Screenshot_20190220-145804_Google.jpeg
,

Iphone iOS ya kwanza dhidi ya android ya kwanza
Screenshot_20190220-150015_Google.jpeg


Iphone alivyokua akichemka kwenye bezel/margin na ku disappoint wateja wake
Screenshot_2019-02-20-15-18-15.jpeg


Samsung alivyofanya mabadiriko kutoka kwenye S7 kuja S8
Screenshot_20190220-152505_Google.jpeg


Iphone alivyofanya mabadiliko kwenye X series
Screenshot_20190220-161537_Google.jpeg


Hii ni Xiaomi Mi mix 3 ambayo camera ni ya ku slide kwa nyumaa
akrales_180614_2657_0124.gif
Screenshot_20190220-193448_Google.jpeg


Hii ni oppo find Xs ambayo ukigusa tuu camera icon inafyatuka ontime na kupiga picha
Screenshot_20190220-192556_Google.jpeg
Screenshot_20190220-193029_Google.jpeg
pamoja na hio.
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,261
2,000
Duh..aisee hii makala ni balaa,ila mbona hivo Picha nikiview zinagoma aisee,emu weka kama ulivyoziweka hizo za mwanzo
Ni Attachment zinagoma, shuka chini kdg kwenye comments nimeweka hizo pics kwa mtiririko huo huoo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom