Mzeewa sosho netweki hahahah mambo ya masnaapchat
Kama kawaida mkuu ni ule ule.Tecno whereva.
Hahahah
Mzeewa sosho netweki hahahah mambo ya masnaapchat
Ili iweje au unataka kudukuaWakuu, poleni na majukumu. Leo naomba tushare jinsi home screen za simu zetu zinavoonekana. Mpe like utakae pendezwa na home screen yake.. Nawasilisha
Duuuuh. Hongera sanaKama kawaida mkuu ni ule ule.
Inatimiza umri wa miaka 2 soon toka muda niichukue Dukani
Na anabet..
Nmeiona game ya Jewel,tafuta Jewel legend utaipenda
Bana weeNa anabet..
Akhaaa nimewaza yang hii haina hata pa kukwepea nmeamua tu kukaushaHaha nini sasa!! Si gallery iyo hapoo...! Au wewe na jamaa mnalenu jamboo!!??

Ivi kwann watu hawapendi kutambulika kwa sura zaoNimeona mmoja tu ndo kathubutu kuweka screen ina picha yake![]()
Nmeiona game ya Jewel,tafuta Jewel legend utaipenda
Ahsante mkuuDuuuuh. Hongera sana