Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
hamu ya ndoa? nani kakuambia kuuliza pete ndo kupata?tupo pamoja BAK, sijui watu wanaona kuna ugumu gani kuulizia uelekeo hapo.... tena unakuta mdada hamu ya ndoa inamkereketa ila ndio anasubiri kuambiwa. ya mwaka 47 tuyaache huko huko jamani.
ndo maana nikasema tangu mwanzo kuwa mimi siyo mfano mzuri sana....
unajua ni rahisi sana kuisemea situation ambayo haupo ndani yake. sababu sikupitia hilo naweza kusema kirahisi kuwa ningesubiri mpaka aniulize ili nijue kama naye ana-feel ninavyo-feel mimi, lakini je ningekuwa kwenye hiyo situation ningejibu hivyo hivyo? sijui....
I am trying to be honest here
ha haaa, rafiki hebu tuambie ukweli wako kabisa.....
hivi utajisikiaje kama mdada unayemtokea akakuuliza umuoe? reaction yako itakuwa vipi?
being a woman, utajisikiaje ukimwuliza mwanaume kuhusu ndoa akakujibu atafikiria?kuuliza kitu kingine na kuipata kitu kingne ila kuuliza unakuwa katka nafas nzur ya kufanya maamuzi
unaweza kuniambia utajibu nini mtu akikuuliza? ukizingatia jinsi ulivyojibu utajisikiaLOL!! Nitajua napendwa na nimetimiza vigezo vyote au vingi vya binti muhusika 🙂🙂 kustahili kupewa heshima ya "Mume mtarajiwa"
then? utaendelea naye ukiwa unasubiri jibu? au utachukua break mpaka upate jibu?ntamwambia akishafikiria anipe jibu.
then? utaendelea naye ukiwa unasubiri jibu? au utachukua break mpaka upate jibu?
ha haaaa, mambo ya backup........
ila wanayaweza
Unajua Kaizer huyu mwandishi steve Harvey ameeleza kwa kina , yaani alionyesha wazi mwanaume aliye serious na ambaye hayuko serious na relationship aliyonayo. So kwa kumsoma vizuri huyu mwandishi utaona amemsaidia mwanamke kujua strength ya relationship aliyo nayo. Time limit ni muhimu sana lkn huwezi kumuuliza mwenzio kuhusu ring, yeye amesema kwa muda flani utakua umemsoma mwenzio vema na kufanya maamuzi. Kuna watu wako kwenye relationship for about 2 or 3 yrs na wanasema wanasomana kwanza hii ni kupotezeana muda. Pia kwa mdada ni vizuri kujua malengo ya hiyo relationship ni nini yaani hatma yake ni nini baada ya muda flani kupita. Anaposema set your own standard anamaanisha je wewe unataka mtu wa aina gani hasa maanake kuna watu vilaza lkn ni mahandsome je mdada ungependa mtu wa hivyo. Kuuliza ring siafiki bali kuuliza hatma ya relationship yenu ni muhimu haiingiii akilini uko kwenye relationship for 3 yrs bado hujielewi au mnasomana mmmmh.Kwanza Fixed Point niseme kwamba niliye naye hata sikufikiria mara mbili kumuuliza "will you marry me?" Maana hadi leo, 15yrs later (yes, you read that correct) sijawahi kujuta
Ila najiuliza what would have hapenned kama angekuwa "amechoka" na kuniuliza "utanioa lini"...ingewezekana nisiwe mimi niliye leo.
So, kwa sigle gals and searching, hii habari ya time limit kiafrika afrika haiapply sana,,,,,,, na by the way tunarudi kule kule kwenye kuwa wawazi mwanzo wa mahusiano kwamba status yenu ipi, malengo yenu yepi, nk,. ndoa itakuja tu automatikale
CC Kongosho, (sijui Zombie kamfikisha wapi masikini) snowhite gfsonwin Mtambuzi amu Paloma Filipo Kaunga Asprin MwanajamiiOne Mbu Mr Rocky Ablessed shansarie Heaven on earth
ha haaa, natamanije sasa kuwepo?si kidogo, na wala hana hofu kabisa kusema ishu ya backup, jamani, haya mapenzi ya sasa kiboko kabisa, tena ilikuwa kama huyu jamaa tutakaetambulishwa hivi karibuni alijijua kwamba yeye ndio "sterling" ilitokea tu aka propose kwa mdada wakati mdada yupo katikati ya maumivu ya "kuachana", mdada anakwambia nimechangamikia "tenda", Lol, namuuliza umempenda au ni basi tu umeumizwa sasa unataka kujichomeka tu mahali ni mahali? ananiambia jamaa ananipenda sanaaa, na mie nitajifunza kumpenda tukiwa ndani, amekamilisha maamuzi yake! tuna sare za kumtambulisha mchumba, kitchen party, sendoff, Lol, (shughuli imempata mrembo wetu) karibu mwaya dec tunampeleka "kichaa" wa familia akaanze maisha mapya.
wewe mdada una hekima mpaka nakuogopa, lol!Unajua Kaizer huyu mwandishi steve Harvey ameeleza kwa kina , yaani alionyesha wazi mwanaume aliye serious na ambaye hayuko serious na relationship aliyonayo. So kwa kumsoma vizuri huyu mwandishi utaona amemsaidia mwanamke kujua strength ya relationship aliyo nayo. Time limit ni muhimu sana lkn huwezi kumuuliza mwenzio kuhusu ring, yeye amesema kwa muda flani utakua umemsoma mwenzio vema na kufanya maamuzi. Kuna watu wako kwenye relationship for about 2 or 3 yrs na wanasema wanasomana kwanza hii ni kupotezeana muda. Pia kwa mdada ni vizuri kujua malengo ya hiyo relationship ni nini yaani hatma yake ni nini baada ya muda flani kupita. Anaposema set your own standard anamaanisha je wewe unataka mtu wa aina gani hasa maanake kuna watu vilaza lkn ni mahandsome je mdada ungependa mtu wa hivyo. Kuuliza ring siafiki bali kuuliza hatma ya relationship yenu ni muhimu haiingiii akilini uko kwenye relationship for 3 yrs bado hujielewi au mnasomana mmmmh.
ha haaa, I cant imagine namwambia mwanaume hivinaona kimekuwa kipindi cha maswali na majibu sasa ila kuulizia mustakabali wa mahusiano yenu na majibu utayopata mwenyewe ndio utaamua kama unaridhika hivo ilivo au lah.
My twin nimeitembelea hivi karibuni natafuta muda muafaka maanake hapa nilikua go go go sana utafikiri mbeba zege.wewe mdada una hekima mpaka nakuogopa, lol!
hivi mara ya mwisho umetembelea lini email yako?
ha haaa, natamanije sasa kuwepo?
Dec ni mwezi tricky kidogo, una mazagazaga meengii..... na ni mwezi wa familia zaidi. misele yangu mingi inakuwaga nje ya dec. kitakachofanyika nje ya dec please let me know, kwa hiyo story yake tu natamani nihudhurie kitu kimoja wapo....
Kwa sasa kuolewa ni deal.Hasa kwa wanawake. Ndio maana wanawake wengi wanajaa kwenye nyumba za ibada kuombewa na wengine kwa sangoma ili mradi apate Tittle ya Mrs.Bible inasema kuna wakati ambapo wanawake 7 watamwendea mwanaume mmoja na kumuomba awaoe na wenyewe wapo tayari kujihudumia kwa kila kitu ili mradi waondoe aibu tu.jana nimetumiwa vitenge kama vinne WhatsAp, vya kumtambulisha mchumba, nichague ninachoona kinafaa tufanye mchakato wa sare, yaani kawa busy na tukio balaa, Lol
Unajua Kaizer huyu mwandishi steve Harvey ameeleza kwa kina , yaani alionyesha wazi mwanaume aliye serious na ambaye hayuko serious na relationship aliyonayo. So kwa kumsoma vizuri huyu mwandishi utaona amemsaidia mwanamke kujua strength ya relationship aliyo nayo. Time limit ni muhimu sana lkn huwezi kumuuliza mwenzio kuhusu ring, yeye amesema kwa muda flani utakua umemsoma mwenzio vema na kufanya maamuzi. Kuna watu wako kwenye relationship for about 2 or 3 yrs na wanasema wanasomana kwanza hii ni kupotezeana muda. Pia kwa mdada ni vizuri kujua malengo ya hiyo relationship ni nini yaani hatma yake ni nini baada ya muda flani kupita. Anaposema set your own standard anamaanisha je wewe unataka mtu wa aina gani hasa maanake kuna watu vilaza lkn ni mahandsome je mdada ungependa mtu wa hivyo. Kuuliza ring siafiki bali kuuliza hatma ya relationship yenu ni muhimu haiingiii akilini uko kwenye relationship for 3 yrs bado hujielewi au mnasomana mmmmh.