How I imagine people in JF

Ok me and my Balla tutajitafutia jina pale tutakapo kubaliana...(heart race puh puh puh, where is Balla jamani...!)

Duh, this happened faster than I thought hahaha Balantanda anapiga mluzi uku akisema "and I love it yeah!!".
 
hahahaha Icadon and YE you two are cracking me out..you are so stupid for really hahahahah!...hebu miye nicheke maana mweeeh!
 
Haya baba, hivi dada Naima(Moyo kudunda) yuko wapi siku hizi, mbona sana... ulimficha nini. I miss her alot. Msalimie mwaya.


Kidogo anajaribu kufidia muda wa valentine tuliotumia,very soon atakua hapa.

Salamu zimefika,lol!
 
Balantanda ushindwe wewe tu sasa...

Halafu Cupcake...itabidi na huyu mtu wetu (u know her well) naye tumtafutie wa kwake...maana asije akatuharibia u cupcake wetu

Aminia Ngosha..kweli nimewakubali wewe na shemeji yangu...Sisi wenyewe wasukuma..Lol
 
Nyani huyu ndugu yako so called Midea freakin Madea
anamatatizo gani hivi?
Hawezi kuacha wenzake wale starehe? Matusi meeengi, sijui mtu wa wapi huyu...
 
Nyani huyu ndugu yako so called Midea freakin Madea
anamatatizo gani hivi?

Hawezi kuacha wenzake wale starehe? Matusi meeengi, sijui mtu wa wapi huyu...

Utawaweza wababe wa kwenye computer aka paper tiger!
SMH!! {{-_-}}
 
Wasee,
Midea ni typical dizaini za wachangiaji wa kwenye utamu, hivyo basi naomba mumvumilie au waheshimiwa wakina nanilino wamfanyie kweli!!!

Kwani Midea tatizo lako ni nini hasa? ongea na mimi basi mami.....nina magic touch, nikikugusa tu matatizo yako yote yatakwisha!! Kuna kitu wanaita PM hapa, HOLLA! LOL....uwe na meno lakini!

Mmm...wewe umejuaje kama Midea ni demu? Akiwa kidume je? Wait a minute...nilisahau kuwa una swing kotekote....Lol
 
Very interesting to read.

I would like to have my sweetpie in here!!!!
If no one, then I think intermingling btn the cupcakes will be the only choice
 
....kelly kweli imagination zako zimepiga patupu hapa,ila nakupa hint mimi sina tambi kama la nyani ngabu na mengine seems ni kinyume ya unavyofikiria
 
Back
Top Bottom