How I imagine people in JF

You know here in jf kila mtu anatumia anonymous names..so its hard to know people this is how I imagine people walivyo in really life excluding my cupcake since I know him lol!...

Masanilo—hahaha shem wangu ni na kuimagine upo kama chris rock kutokana na mambo yako…fun indeed lol!

Yo yo –Fun guy kama Dave chappele ila inaelekea ni mfupi hivi around 5”5..una kama afro hivi..alafu mgomvi.

Kuhani—this dude man namfananisha na Jesse Jackson sr ila urefu wake kama jesse jr…mtu ambaye hapendi kushindwa very serious hapendi utani ni yeye na news na anaonekana anapenda sana kusoma magazeti miwani ipo chini ya puwa….mnokoooo.

Mwanakijiji---yaani ni kazee Fulani hivi kafupi kama eyebrows nyingi alafu zina mvu,yaani namfananisha mwanakijiji the way alivyo ufupi wake kama Raisi mstaafu Alhaji mwinyi hivyohivyo…mpaka anavyoongea

YNIM—Huyo hana tofauti na Martin Lawrence,character and image.

Penny—Sijajua kama Penny ni demu au men…ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 5”4caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.

Balantata---My friend Balantata namfananisha na Morgan freeman…hivyohivyo siyo mtu anayependa kuongea sana..ni mtaratibu.

YE---Huyu ni namfananisha na Yule kocha wa Bears…anaonekana ni mfupi around 5”4 alafu ana nywele kafuga na ndevu…ana kitambi kidogo anafu mbishi sana.

To be continued….

Na MaxShimba je?
Mimi nahisi (hapana, niko sure) MaxShimba ni Kichaa. Dalili mojawapo- hypergraphia, strong unshakable beliefs.
Sijui atajishtukia ama kushtuliwa lini kuwa akili yake si sawa! Msaidieni tafadhali kabla hajaleta madhara kwa jamii.
Halafu nahisi anapenda sana hela na mademu. Kama ni mzee wa kanisa basi anawafanyizia kondoo ambao ameachiwa awachunge.
 
kelly alienda wapi jamani???,alivuta wengi kujiunga na JF....sie wakati huo kipindi cha chabo tulikuwa tunapenda sana kusoma posti zake....kelly bana rudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nahisi ni muha-mad follower huyu hater!
 
kelly alienda wapi jamani???,alivuta wengi kujiunga na JF....sie wakati huo kipindi cha chabo tulikuwa tunapenda sana kusoma posti zake....kelly bana rudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

labda amerudi kivingine
 
hivi na ile chat room iliishia wapi tena? imepigwa ban?

kwetu hakuna tuna chumba kimoja tu sasa hiyo chat room itoke wapi?

sikuwa nimesoma tarehe ya hii thread, nikahisi mume wangu anamisbehave in my absence
 
kwetu hakuna tuna chumba kimoja tu sasa hiyo chat room itoke wapi?

sikuwa nimesoma tarehe ya hii thread, nikahisi mume wangu anamisbehave in my absence

hahahahahaha!....tuliya mke mwee huyu haendi kokote kwako amefika...anyhoo how are you?longtime uh....

Blantanda...My shem....i salute you!...you said it well....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom