Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,855
- 87,052
Jamani, nimepigiwa simu na waifu sasa hivi toka home, kuwa mtego tulioweka umenasa, HG wetu anakafundisha "matusi" ketu. Kameshamueleza mamaake kila kitu, mtoto mwenyewe ana umri wa miaka sita tu, si ataniulia mwanangu huyu jamani, akina mama na baba wenzangu, kuweni makini makini na maHG wenu.
Ntawapa feedback baada ya kupokea ushauri toka kwenu kuwa nimfanyeje sasa.
Ntawapa feedback baada ya kupokea ushauri toka kwenu kuwa nimfanyeje sasa.