House girl huyu nimfanyajee...?

House girl huyu nimfanyajee...?

Wewe unaleta uzi huu hapa kutaka ushauri au unataka kutujaribu. Kwa umri wako wewe na huyo binti wako wa kuzaa unataka tukupe ushauri gani hapa??? Hakika kama huwezi resist vitu simple kama hivyo, what kind of a weak man you are??? Sasa mwambie mkeo uone moto wake. Mimi hizo Mercury (Hg) hata kama zingekuwa glittering kiasi gani siwezi chukua. Bora nikanunue CD kama mke sina au kasafiri. Ni kujidhalilisha!!!
i second yah!
 
Wacha tamaa enzi zako za kugegeda vibinti ishaisha, kama anaendelea na mabo hayo ya mitego mletee vijana wenzake kwani wewe huna wadogo zako wa kiume waje wamliwaze ili aache kukutamani wewe, na hii inatokana na kula vizuri hafu hafanyi mazoezi, Nakushauri umletee kijana wa lika lake wamalizane ila usimwambie kuwa amgegede au amtongoze binti.

Ushauri mwingine hatari tupu. Duh!
 
Hapo ndo huwa naipenda quran make haikuacha kitu.kwenye sura ya wanawake kuna haya inasomeka hvi😱eni wake wawili watatu wanne pamoja na wale uwamilikio mkono wako wa kuume,,,,hapo nazan kutakua na mashemeji pmj na house girl,na hyo haya nafikiri itakua inarejea mambo yaliyofanywa na ibrahimu pamj na mfalme suleiman

Mkuu rejea kuandika upya!
 
mi hapo naona kigezo ni atamvunjia tu mke heshima na kujiabisha kumuonesha beki tatu uchi wake
la sivo kingekuwa ni kidem tu kimejileta ni kurarua tuuuuu

Sipati picha kama ungelikuwa ME, angeliwararuaje.....!?
 
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu".
Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"
Hapo kwenye blue yaani ulipata muda wa kujua yote hayo baada ya mshtuko. Halafu hapo kwenye age yako hivi ni kweli hujui cha kufanya. Huyo mwanao fanya unavyoona ni busara kwako kufanya.
 
Timua Kabisa Huyo Ni Ibiris Wa Ndoa Yako, Binafs nilishawakataa wasichana wa kaz kwangu, kama vip anatafutwa mama m2 mziwa anasaidia kaz asbh jion anarudi kwake
 
Unadani hicho hakiraruriki ostaz?

wengine wanafumba macho tu qudadeki! wanavaa ndom nne wanakula wananawa wanasepa!

afu huwaga vijanja hivyo... usivione vinaoshaosha vyombo ukavidharau..
Waambie!!, huwa vijanja mno, kinakuwa kinavunga kama kinakuonea aibu huku kinakupa vitu kiutu uzima,
 
wewe usisingizie umeme.. sijui taa.

baba unafuata nini chumbani kwa binti wa kazi ??
 
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba ambacho hayupo kwa muda huo ( majanga ya Prepaid meter ). Siku moja jioni, Niliona taa ya chumbani kwa house girl wetu inawaka na wakati huo nilihisi atakuwa jikoni anapika, nikajisemea moyoni, "hii mijitu migumu sana kuelewa" huku nikiwa naingia kwenye hicho chumba ili niizime hiyo taa only to see the maid in her naked glory towelling and both of her huge 'twin peaks' are very firm on her chest..!! Nilionyesha mshituko mkubwa nilipomuona na nikahisi atanifikiria vibaya. ( House girl wetu ana umri wa miaka 18 kwasasa and she has a crazy physique body of a local girl ). Nilimuomba msamaha na pia kumsisitiza kuwa awe anafunga mlango kama yuko ndani. Chakushangaza alitabasamu na kunijibu "samahan baba, karibu". Tangu siku hiyo amekuwa akiniangalia kwa macho ya matamanio ( coy looks ) kitu ambacho hakuwa akikionesha hapo mwanzo. Na pia amekuwa akijaribu kwa njia zote kuomba afanye usafi pale ambapo mke wangu anakuwa hayupo na vituko vingine vingi tu siwezi kuvitaja vyote hapa.

Sasa najiuliza je? Nimwambie mke wangu kuhusu hili jambo? Au tumfukuze huyu house gal arudi kijijini? Or Should I simply ignore and play along ?"
Kusema la ukweli hapa unataka ushauri gani na uzee wako wa miaka 37.Ungekuwa na miaka let say 21 ningekushauri lakini 37 aaah wacha kujifanya mwehu wewe.Hizi ndio zile staki nataka.Yaani binti wa miaka 18 anataka kukutingisha mpk unataka ushauri shame on you.Na usipoangalia na ndoa utaipoteza na hako kabinti utaishia kunawa.hahahaha.......
 
Mkuu cha msingi kuwa serious ns huyo mtoto coz mabeki tatu ni wasumbufu sana majumbani kikubwa ni kuwa busy na kumpuuza atajua kwamba hakuna chochote mm mwenyewe home kuna beki tatu alikuwa anakaa hovyo watu tukampuuza mpk amejirekebisha mwenyewe chunga ndoa yako mkuu
 
Mwalupale, umriwako hauna tofauti na wangu na nina binti wa umri huo, kweli nakupiga risasi, sitanii hata mtaani kwangu wanajua, mchezo huo haufai....
 
Last edited by a moderator:
Utakuaj kula visivyolika ukabaki unawayawaya...
 
Back
Top Bottom