Jk alipewa uwanja wa kimataifa lakini hakuwa anajiandaa kujibu misimamo yetu Wantanzania kulingana na matukio ya kimataifa, hata hivi sasa im afraid hali yake haijabdilika (inabidi apigwe msasa kwa hilo), kuna jamaa wawili (Wabongo) kule South Africa wakati wa discussion na BBC, walisaidia kufunika mepesi yaliyozungumzwa na JK, hao jamaa wampige msasa JK. Pia humu bodini kuna watu smart sana JK aweza kuwatumia pia (some free of charge!!)