Hotuba za Rais kila mwezi

Hotuba za Rais kila mwezi

Je unaridhika na hotuba za Rais Kikwete?

  • Ndio

    Votes: 13 15.5%
  • Hapana

    Votes: 71 84.5%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%
  • Sina jinsi

    Votes: 1 1.2%

  • Total voters
    84
  • Poll closed .
Ni kweli kabisa kuna mambo mengi ya msingi ambayo kama Raisi wananchi walitegemea ayaongelee na ndo maana walikuwa wanasubiri kwa hamu hotuba yake lakini kilichojitokeza ni kitu cha kukatisha tamaa, hakuongelea maswala muhimu anaongelea mambo ya nje wakati ya ndani yanawaka moto.

Ni vizuri kama hana cha kuongea na wananchi akaacha mara moja kuongea vitu ambavyo wananchi hawavitegemei kuvisikia.
 
KATIKA hali iliyowachanganya wengi, hadi sasa hotuba ya JK haijatoka kwa waandishi wa habari kutokana na kuendelea kufanyiwa ukarabati mkubwa. Inaelezwa imebadilishwa mno kutoka ile iliyoandaliwa na wasaidizi wake akiwamo January Makamba.

Tusubiri tuone
 
ujumbe umetumwa... lakini kubadilisha si sehemu ya drafts.. tu hadi atakapoanza kuisoma ndiyo inakuwa rasmi? Ni vizuri waendelee kubadilisha na mwisho aamue kuahirisha kabisa kuzungumza na wananchi. Tunahitaji kuona vitendo, we know the history, we know the reasoning, we know the sentiments.. what we do not seem to understand are the actions taken so far.

Watu wanahitaji kuona vitendo tu hiyo hotuba wanaweza wakaichana wakipenda na kutoa tamko fupi tu yakaisha.
 
halisi, kwani hiyo ya mwanzo uliiona? (maana unajua kuwa imebadilishwa). Tudokezee basi ilikuwa na nini?
 
Hotuba ya Rais haijatoka kwa waandishi wa habari maana yake nini ?

Ilitoka siku ile ile wakati anaitoa. Haikuwa closed-door session of parliament. Waandishi wa habari kusema wanasubiri Rais akarabati alichosema ili aje awambie alisema nini wakati walishamsikia ndio huo ukilaza wa waandishi.

Hotuba aliyoitoa Rais ni moja tu. Ni ile isiyosikika na dunia siku ile ya Agosti 21, 2008. Hakuna nyingine. Ni moja tu.

Mtu ametumwa kwenda kusikiliza hotuba ya Rais halafu aripoti kwa kwa jamii. Baadae ukiuzwa Rais alisema nini, unaweza kujibu, "bado Rais hajatoa nakala rasmi ya kuniambia aliniambia nini"??!! Vichekesho, vichekesho vya abunuasi vya crummy press ya Tanzania.

Tuambie Rais alichosema neno kwa neno. On that day. That's it. Huwezi kusema unasubiri Rais akarabati hotuba. Tunahitaji press institutions Tanzania.

Inaonekana umemiss point nzima ya alichosema Halisi.. well sometimes we all do that..
 
Hotuba ya Rais haijatoka kwa waandishi wa habari maana yake nini ?

Ilitoka siku ile ile wakati anaitoa. Haikuwa closed-door session of parliament. Waandishi wa habari kusema wanasubiri Rais akarabati alichosema ili aje awambie alisema nini wakati walishamsikia ndio huo ukilaza wa waandishi.

Hotuba aliyoitoa Rais ni moja tu. Ni ile isiyosikika na dunia siku ile ya Agosti 21, 2008. Hakuna nyingine. Ni moja tu.

Mtu ametumwa kwenda kusikiliza hotuba ya Rais halafu aripoti kwa kwa jamii. Baadae ukiuzwa Rais alisema nini, unaweza kujibu, "bado Rais hajatoa nakala rasmi ya kuniambia aliniambia nini"??!! Vichekesho, vichekesho vya abunuasi vya crummy press ya Tanzania.

Tuambie Rais alichosema neno kwa neno. On that day. That's it. Huwezi kusema unasubiri Rais akarabati hotuba. Tunahitaji press institutions Tanzania.

Mkuu naona umetoka nje ya mada kabisa..Soma vizuri klichoandikwa na Halisi
 
Anamaanisha hotuba inayotakiwa kusomwa leo.
 
ujumbe umetumwa... lakini kubadilisha si sehemu ya drafts.. tu hadi atakapoanza kuisoma ndiyo inakuwa rasmi? Ni vizuri waendelee kubadilisha na mwisho aamue kuahirisha kabisa kuzungumza na wananchi. Tunahitaji kuona vitendo, we know the history, we know the reasoning, we know the sentiments.. what we do not seem to understand are the actions taken so far.

Watu wanahitaji kuona vitendo tu hiyo hotuba wanaweza wakaichana wakipenda na kutoa tamko fupi tu yakaisha.

M.M Mwanakijiji nadhani wametembelea ile thread yako na kusikiliza ulichosema pale...Kusema ukweli mimi nilikuwa nikisubiria wafanye hivyo...Nilijuwa kabisa kuwa itabadilishwa kama wakitembelea thread ile na kama kilichotakiwa kuzungumziwa ni tofauti na vitendo.
Safi sana Mkuu.
Ila usichoke ndugu yangu wala usikate tamaa...Kufanya hivyo ni sawa na kujisaliti wewe mwenyewe na juhudi zako zote.
 
ujumbe umetumwa... lakini kubadilisha si sehemu ya drafts.. tu hadi atakapoanza kuisoma ndiyo inakuwa rasmi? Ni vizuri waendelee kubadilisha na mwisho aamue kuahirisha kabisa kuzungumza na wananchi. Tunahitaji kuona vitendo, we know the history, we know the reasoning, we know the sentiments.. what we do not seem to understand are the actions taken so far.

Watu wanahitaji kuona vitendo tu hiyo hotuba wanaweza wakaichana wakipenda na kutoa tamko fupi tu yakaisha.

you sent the message, that is the delivery report.
 
Hotuba ya Rais haijatoka kwa waandishi wa habari maana yake nini ?

Ilitoka siku ile ile wakati anaitoa. Haikuwa closed-door session of parliament. Waandishi wa habari kusema wanasubiri Rais akarabati alichosema ili aje awambie alisema nini wakati walishamsikia ndio huo ukilaza wa waandishi.

Hotuba aliyoitoa Rais ni moja tu. Ni ile isiyosikika na dunia siku ile ya Agosti 21, 2008. Hakuna nyingine. Ni moja tu.

Mtu ametumwa kwenda kusikiliza hotuba ya Rais halafu aripoti kwa kwa jamii. Baadae ukiuzwa Rais alisema nini, unaweza kujibu, "bado Rais hajatoa nakala rasmi ya kuniambia aliniambia nini"??!! Vichekesho, vichekesho vya abunuasi vya crummy press ya Tanzania.

Tuambie Rais alichosema neno kwa neno. On that day. That's it. Huwezi kusema unasubiri Rais akarabati hotuba. Tunahitaji press institutions Tanzania.

.....na ule wa ma-critics ni upi?!
 
Hadi sasa TV na radio zote zinaendelea na mambo mengine na ndio kwanza hotuba yenyewe naipata. naomba muda niisome kwanza kabla "sijaenda hewani."
 
Tanzania hamna hotuba wala rais.

---Je, Tanzania ina wananchi walio/wanaopiga kura kumchagua Rais?

---Je, Marais huwa wanafanya nini kufikisha ujumbe wao ulioratibiwa kwa wananchi?
 
Ushaambiwa hakuna Rais!!

Oooho!!
 
Ndugu wana JF, binafsi sija/sitofurahishwa na hotuba ya Rais leo hii!!!!

Haina tofauti yoyote na ile ya Bungeni. Mumeendelea kutwanga maji kwenye kinu!!!! Warioba wa watu namuonea huruma, kila siku anasema nchi imegawanyika lakini hakuna kitu.

Matatizo ya msingi yameahirishwa.
Tusitarajie chochote, hii ni lala salama

MUNGU IBARIKI TANZANIA...... Kwa
 
Mbona unawaweka wenzio roho chini, wenye kukata tamaa watashindwa kuisoma as wameshapata general preview. Kama unayo iweke waione kila mmoja achambue kwa mtazamo wake.
 
Ndugu wana JF, binafsi sija/sitofurahishwa na hotuba ya Rais leo hii!!!!

Haina tofauti yoyote na ile ya Bungeni. Mumeendelea kutwanga maji kwenye kinu!!!! Warioba wa watu namuonea huruma, kila siku anasema nchi imegawanyika lakini hakuna kitu.

Matatizo ya msingi yameahirishwa.
Tusitarajie chochote, hii ni lala salama

MUNGU IBARIKI TANZANIA...... Kwa

mmmh
SINA IMANI NA KIKWETE HOYA HOYA X2
KIKWETE KWELI ZERO, ZERO, ZERO, ZERO
ZERO KIKWETE
 
Back
Top Bottom