..kwanini wabadilishe muda wa hotuba ..wanaweka watu tutakuwa tumelala..
911, CottonEyeJoe, Ether, Halisi+, Idimi, Invincible, Jibaba Bonge, Jobjob2, Kaka K, Kamundu, Katibu Tarafa, Kipunguni, Komavu, macinkus, Mama, Maskini Mimi, Mkuu, Mlalahoi, Mtanzania, njilembera, Nsololi, Nziku, Pasco, Peasant, Phillemon Mikael, Pipiro, Pundit, Shakazulu, Wakunyuti, Zion Train
bado mpo? "
Hatimaye JK kuonyweshwa hivi punde TBC! Acha tuendelee kusubiri..
Nipo mkuu! Huyo msanii wetu ana jipya au inakuwaje?
Huyoooo anaaanza: Imerekodiwa.
Nakumbusha:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19940-epa-na-mambo-yake-2.html
Kaanza na IOC, serikali bado haijaamua. Tuipe muda zaidi kabla ya kufikia maamuzi. Saa hizi yuko hoja pili. Waalimu.