Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,298
Yumkini yu mwenye mapungufu mengi, lakini niilijua yupo. Ndiyo maana nikatumia kiulizo, ''je.''Ushaambiwa hakuna Rais!!
Oooho!!
Yumkini yu mwenye mapungufu mengi, lakini niilijua yupo. Ndiyo maana nikatumia kiulizo, ''je.''Ushaambiwa hakuna Rais!!
Oooho!!
Ndugu wana JF, binafsi sija/sitofurahishwa na hotuba ya Rais leo hii!!!!
Haina tofauti yoyote na ile ya Bungeni. Mumeendelea kutwanga maji kwenye kinu!!!! Warioba wa watu namuonea huruma, kila siku anasema nchi imegawanyika lakini hakuna kitu.
Matatizo ya msingi yameahirishwa.
Tusitarajie chochote, hii ni lala salama
MUNGU IBARIKI TANZANIA...... Kwa
Mbona unawaweka wenzio roho chini, wenye kukata tamaa watashindwa kuisoma as wameshapata general preview. Kama unayo iweke waione kila mmoja achambue kwa mtazamo wake.
Ndugu wananchi;
Nilielezea pia kwamba baada ya tarehe 31 Oktoba, 2008, kwa wale ambao watakuwa
hawakuteleza, hatua za kisheria zichukuliwe. Leo ndiyo siku ya mwisho. Napenda
kuwajulisha kuwa, taarifa nilizoletewa majira ya mchana leo, ni kuwa kiasi cha
shilingi 69,326,437,650 kati ya shilingi 90,359,078,804 zilikuwa zimerejeshwa. Hii
ni sawa na asilimia 76.7.
Msiniambie kuna watu wanaendelea kutegemea huyu ndugu afanye mambo! Sasa hapo kilaza ni nani-yeye au sisi?
Nziku, sehemu nyingine hata ukiwa na macho huli; "Firm-on-Issues" kijasho cha meno kinamtoka, sasa hivi kiti kimekuwa cha moto -- wanawasiliana na TCRA ili 'frequencies' zote zipotee!heheee mwenye macho haambiwi tule! Mkuu Pundit upo sahihi.
...ndiyo, ni sisi wananchi tuliomchagua. Akishindwa kwa kura kwenye uchaguzi ujao tutakuwa tumeondolewa huo ukilaza, walau kwa asilimia kadhaa!!Msiniambie kuna watu wanaendelea kutegemea huyu ndugu afanye mambo! Sasa hapo kilaza ni nani-yeye au sisi?
Kwa ufupi!!!! Kabla ya yote!!!! Lakini tusubiri muda si mrefu atazungumza, tuko hapa tunasubiri mafundi mitambo wanahangaika. Wasije kujua kwamba nawamegea kabla ya wakati.
Kwa ufupi!!!! Kabla ya yote!!!! Lakini tusubiri muda si mrefu atazungumza, tuko hapa tunasubiri mafundi mitambo wanahangaika. Wasije kujua kwamba nawamegea kabla ya wakati.
Jamani haya ndio tuliyotarajia. Waliolipa fedha walizoiba hawana hatia. Wasiolipa watakiona cha mtemakuni
Jamani haya ndio tuliyotarajia. Waliolipa fedha walizoiba hawana hatia. Wasiolipa watakiona cha mtemakuni