Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 146
Pundit,
Naona unafikiri hotuba za wanasiasa ni sawa na academic papers, they are not. You are spending too much time looking for trivial mistakes instead of looking for the intended messages.
Ukiangalia hotuba nzuri duniani ni zile ambazo wahusika walikuwa hawasomi, maneno yalikuwa yanatoka moyoni with passion. Huenda mpangilio ulikuwa unakuwa sio mzuri sana lakini messages zilizokuwa zinatolewa zilikuwa zina make sense. Angalia baadhi ya speeches za Mwalimu au hata watu kama Churchill na Hitler
Siku hizi shauri ya kuogopa kukosolewa na kukosea, kila kitu kinaandikwa na kuchambuliwa na wajuzi, matokeo yake watu wanaongea vitu ambavyo hawaviamini, passion inapotea na speeches kuwa boring. Mimi nikiona mwanasiasa anasoma speech, huwa nalala baada ya dakika tano.
Hotuba sio lazima ziwe sawa na academic papers.Lakini rais kuainisha kuwa kuna mambo matatu anayotaka kuongelea, halafu kuja kuongelea mawili ina maana.
1.Hajui kuhesabu (I doubt that)
2.Hajui/ameshindwa/anaogopa kuli present hilo la tatu
Kikwete ame set a new low in Tanzanian politricks.Nilifikiri no one could go lower than Mwinyi but his ability to break records amazes even people who had a very low opinion of him to begin with like me.I knew he was going to be a bad president, I just didn't know he was gonna be so dumb to the point of not being able to put together a speech.