Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Kwangu mimi ni:
i. kuondoa Sheria zote zenye vifungu vya uonevu
ii. kuangalia maslahi ya wafanyakazi na wakulima, na kiasi wafanyabiashara ambao wananyanyasika kwa kubinywa kwenye biashara zao- angalia waendesha hoteli kubwa kubwa - Ofisi za Serikali siku hizi hazina mpango nao kuendeshea shughuli za kiofisi
 
1. BASHITE
2. JIWE
3. CYPRIAN MAZISHI
4. MAMBO-NOW
5. KAZI NDUGAYI
6. WASOJULIKANA
7. OLE MBAYA
8.
9.
10.
11.

Akiahidi kuwashughulikia ipasavyo hao miunguwatu
 
Usimpime kwa ahadi hewa za uraisi mpime tu kwa ahadi alizoahidi Jimbo lake akiwa mbunge Ni zipi na zipi alitekeleza!!! Huko kwenye uraisi mbona mbali Sana
Tundu Lisu Kabobea kwenye ahadi hewa huyo
 
Fupi na nzuri ya kueleweka
Mhh ama kweli Tanzania ni nchi ya pekee Duniani hadi mtu kutangaza nia ya kugombea urais kupitia FACEBOOK kwani Tanzania kuna vita?? Acheni upuuzi huo huyu mgombea wenu anaogopa kukanyaga TZ na akikanyaga tuu ananyakwa kwanza kwa kosa la kukiuka makosa ya dhamana ambayo hata wadhamini na chama chake wamejitoa. watakao piga kura zao either kumpigia mgombea uraisi wa chadema au hata mbunge wa chadema kwenye uchaguzi huu watahitajika kupimwa akili. Sipendi UDINI NA UKABILA NA UZONE unaoonekana kwa uwazi sana hivi sasa ila naukubali utendaji wao kwani raia wanachohitaji ni huduma kama afya,, mahospitali yamejengwa mengi sana, maji na umeme kijijini kwangu uko poa,barabara za lami, elimu bure miradi mikubwa ya kimkakati ya kuweza kuibadilisha sura ya TZ kama reli na meli waziwani mote na madaraja makubwa,,,,ila mhhh UDINI, UKABILA na UZONE unanichonga ila siyo kiasi cha kupigia kura chadema au ACT ili tusalimishe rasilimali zetu kwa wafadhili wao WESTERNERS hapana!!!
 
Usimpime kwa ahadi hewa za uraisi mpimr tu kwa ahadi alizoahidi Jimbo.lake akiwa mbunge Ni zipi na zipi alitekeleza!!! Huko kwenye uraisi mbonabali Sana
Tundu Lisu Kabobea kwenye ahadi hewa huyo
Kitendo cha kutangaza nia ya kugombea uraisi mtandaoni tuu ni picha tosha kuwa huyu hayuko sawa na hata wanaomsapoti ni wagonjwa wa akili kwani haijawahi kutokea japo Chadema ni watu wa vioja siku zote basi tuwe nao tuu,,, ona alichofanya mwenyekiti wao hivi majuzi na kauli za mtangaza nia Msigwa aliyetoa kauli za uongo za wavamizi ikumbukwe juzi tuu aliomba radhi kwa kumsingizia mzee Kinana,,, hawajitambui hawa na hakuna mtu huko jamaniiii
 
Nimtu wa kufuata sheria zaidi
Yaaah ni mtu wa kufuata sheria huku anaviolate bond na kumshikilia dereva wake for three good years asiende kuhojiwa na police!!! Ndiyo hivyo mfuata sheria hutangazia nia ya kugombea uraisi mtandaoni akiwa nje ya nchi yaah yuko poaaaaa
 
Mbona kama Uhuru alikuwa anamuongelea Mh Lissu mwanasheria pekee anaeogopa nchi kushtakiwa MIGA
 
Attachments

  • ccmsupporters_20200610_221709_0.mp4
    9 MB
Kwa madudu haya yaliyofanywa na utawala wa Magufuli lazima muone aibu,shame on you. Kampeni za mwaka huu zitakuwa za moto zaidi ya 2015. Form atachukulia hapa hapa TZ.
Nami nitajitahidi niwepo wakati anachukua fomu. Kuhusu kampeni kuwa mogo zaidi ya 2015 utamdanganya mwanao tu.
 
Mnyampaa utrajevewa atumishi hasa alimu nghokuya na njaa. njuu wang'u anyamahaa nghunghwindye MUNGU AKUBARIKI SANA Mimi na familia yangu TUMEKUCHAGUA WEWE 2
 
CHADEMA October 2020 tafadhalini tuwekeeni Lissu kwenye ballot paper,,hizi sarakasi zenu za kila mtu kutia nia Napata hisia kua kuna mtu zinamuandaa tofauti na Lissu,,Naona fika mnamuandaa NYALANDU,.. TUNAHITAJI mtu popular kidogo ambaye anafahamika ,,,and Lissu is the best,,,NYALANDU kesha sahaulika katika masikio ya Watanzania,, na Hawezi kumtikisa Magu,,,,, TUWEKEENI LISSU ,,,
 
Lisu mwenyewe anakwenda na Nyalandu!
 
Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu .muambiwe lipi mtii
 
Back
Top Bottom