Kweli hotuba ya Mbowe ilikuwa kali, na watu wataujua ukweli taratibu, kumbe magu alikuwa ka shetani!
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?
Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....
Scandalous!!
Maswali ni mengi kwanini ule uswahiba na tall ulikata ghaflaHizo za kulindwa na watu kutoka nje mwanzo nilidhani ni uzushu, baadae ikathibitika ni kweli japo waliondolewa baadae. Ukaribu wake pia na Tall ulipitiliza, baadae ghafla ukakata. Kuna mengi sana ya kushangaza kipindi kile mengine hatuwezi kuyasikia
Magufuli alikuwa na
Mazuri yake machache na mabaya yake mengi, Hana tofauti na Hitler au Mussolini, pamoja na mabaya yako yasiyofaa kuigwa na binadamu yeyote, wana mazuri yao ya kuiga.
Sasa tunasema mabaya Ili taifa lisije kuingia kwenye mkondo uleule, tunasema mazuri Ili tuyaenzi.
Tukiweza mizania mabaya ya mwendazake ni mengi kuliko mazuri yake.Lakini Mungu ndiye anayehukumu.Binafsi sipendi nice na roho ya huyu kiumbe wala asirudi Tanzania kwenye nafsi ya mtu yeyote,nafsi yake na ikawe chuo au mti wa Mwarobaini.
To positive respond to deliberate miss representation is for you to responds sarcastically. given to using irony in order to mock or convey contempt.Anayehukumu naye atahukumiwa.Mm sioni sababu ya kumhukumu mtu ambaye hayuko duniani nao huo ni ushetani.Huu ushetani tunautoa wapi?Kama tuna guts si mgemsema wakati Yuko hai?kwa wakristo hii haikubaliki samehe saba mara sabini na utabarikiwa uje hukumu si hukumu la mwanadamu Bali ni Mungu
Dikteta Hitler, Stallin, Amin, Bokasa, Pinochet, n.k. walishakufa zamani lakini wanasemwa kwa uovu wao mpaka leo.Mbowe amekosa utu na ustaarabu, Hivi anaanzaje kumkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa!!! hakika huu sio uungwana.
Binafsi nimemshangaa sana.
Dikteta Magufuli alikuwa MHALIFU wa kiwango cha kutisha mno, hakika jina la Bwana lihimidiwe.
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?
Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....
Scandalous!!
Sawa tu wacha wamshambulie, alipokuwa hai marehemu hakutaka kusemwa! Amekufa watu wanatoa nyongo zao!
Mchuma janga...Pamoja na yote, wanasiasa wafikirie familia ya JPM. Wamuache apumzke. Familia inaumia zaidi wakati huu wanapotoka watu na kumshambulia mtu ambaye hawezi kujibu chochote.
Kwa maana nyingine, lolote litakalosemwa kwa sasa litabebwa hivyo, mwenyewe hayupo kulisemea.
Kweli magufuli alikuwa mwovu!
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?
Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....
Scandalous!!
Kwani akijifufua bado atakua Rais?Mara paaaa kajifufua
View attachment 1749364hawa wachunguzwe na CAG
Panga hoja usilete vimistari viwili kinafiki hiyo hotuba kama imekupenya vumilia maana kuchomoa izo point huwezi!! Mwanaume wakweli husimamia ukweli hafati mkumbo kutetea upumbav
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?
Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....
Scandalous!!
Huh! What??!!Panga hoja usilete vimistari viwili kinafiki hiyo hotuba kama imekupenya vumilia maana kuchomoa izo point huwezi!! Mwanaume wakweli husimamia ukweli hafati mkumbo kutetea upumbav
Apumzike kwa amani shujaa wetu wa Afrika.
Ni kweli kabisa Rais Magufuli alikuwa ni mbaya kiasi hicho?
Mbowe anadokeza pia inawezekana Magufuli alikuwa analindwa na walinzi wa kutoka nje ya nchi....
Scandalous!!