Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Maccm majizi mafisadi na majangili UKUTA LAZIMA UJENGWE
 
Na anazisha fujo anakimbilia uingereza Serikali ya uingereza inapaswa kutwambia kama iko nyuma ya mgongo wa mbowe kuhatarisha amani ya nchi.Aende hiyo tarh 28 akifika airport anakamatwa anarudishwa Tanzania interpool wako tayari kumsubili huko.
 
Wasichokijua chadema na Viongozi wake viazi
Wazungu hawana interest na kinachoendelea TZ hata kama Viongozi wote wa ukawa wakipigwa risasi hakuna Mzungu atakayesema chochote! Hivyo hilo la kusema mmeita vyombo vya kimataifa labda vya Kenya lkn siyo vya Wazungu hapo mnapoteza muda!
Haya maneno ya risasi unaona ni sawa kweli? Kwa nini wapigwe risasi? Hivi malipo ndo yanawafanya muwe wakatili hivi? Je mnasali kweli nyie watoto wa nyoka? ???
 
Wananchi tuko Tayari kumfuata Uingereza na kumtudisha huku Tanzania....atueleze...na familia yake yote itarudishwa ndio Mtajua Tanzania hatuwahitaji watu wenye fujo kabisaa
 
Maccm majizi mafisadi na majangili UKUTA LAZIMA UJENGWE
Majizi mnayo mmeyakumbia ,mafisadi mmeyakumbatia akina sumae na lowasa,majangili yanafugwa na Chadema kama vile mbowe
 
Haya maneno ya risasi unaona ni sawa kweli? Kwa nini wapigwe risasi? Hivi malipo ndo yanawafanya muwe wakatili hivi? Je mnasali kweli nyie watoto wa nyoka? ???


Sijasema wapigwe risasi bali nimesema tofauti na wanavyodhania Wazungu hawana interest na Siasa za TZ!
 
Mkuu siku hizi wamepunguziwa posho ni buku 2 na maneno ya kejeri ya UKITAKA CHUKUA HUTAKI WACHA
Mkuu hii habari hebu ifungulie nyuzi yake siku moja tuijadili kumbe hawa njaa kari mzigo umekatwa hahahaha
 
Mnaandama kuelekea wapi! Mnatikisa viberiti lakini vingine vya gesi havitikiswi vitawaripukia
 
Dah aseeee. Na wahurumia wafata mikumbo yaani watu wa kipato cha chini ., wale wenye thamani ya dola moja......ndiyo. sana aseeee..................ushauri wangu ni huu,,,,achaneni na siasa ,azina faida,,,,,,,...,cha msingi. Tafuteni fulsa za kuwaongezea kipato ......fulsa zipo nyingi tyuuu aseeee sana sana kilimo na ufugaji......""huu ni ushauri Wangu...ka ukipuuza fuata hizo siasa mchana na usiku Fanya majumuhisho ya ulichokipata...zaidi ya maumivu tu mwilini.......""""no matusi ,,
 
Back
Top Bottom