Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Wanabodi
Salaam;

Jf ni mahali ambapo Rais wetu anapenda sana kusoma na pengine hata ni member hapa. Nataka nimwambie ukweli huu ili aingilie kati.

1-Rais tofauti na unavyoaminishwa kuhusu UKUTA kuandamana sept.01,kwamba hawatafanikiwa,ukweli maandamano yatakuwa makubwa kuliko matarajio ya serikali. Hili likitokea serikali itakwama kwenye kila kitu. Kinga ni bora kuliko tiba.

2-Kauli za police na wakuu wa mikoa juu ya UKUTA,ni kauli zenye kuleta mgawanyiko,kumbuka hao wanaotamka kuna wakati wanavua hayo magwanda na kurudi uraiani,kwa wanachokifanya wanajenga chuki kali na raia wanaoishi nao huku mitaani. Km utaacha hali hii iendelee na tar.01 sept. UKUTA uwepo,uhasama utakaokuwepo kati ya raia na police utakuwa wa kutisha!

3-km UKUTA utafanikiwa Rais wangu utakuwa umefeli kwa kiwango kikubwa sana! Kinachonitisha mimi,ni uhasama utakaotokea km police wataua raia,halitakuwa jambo la ajabu kukuta hata famili ya askari imetekwa au kufanyiwa kitu cha kikatili zaidi.

4-Rais wewe ndo mtu pekee kwa sasa unayeweza kuzima huu utengano unaotunyemelea. Hali ni mbaya sana mitaani,hela hakuna,watu wamekata tamaa hivyo hawataona shida kuandamana!

5Mwisho-Wasihi police waache kutisha watu,wasidhani kadhia hiyo itaishia kwa wanaowatisha tu,itakuwa hadi kwenye familia zao. Police ataua akiwa na sare,lkn akirudi kwake anaweza kukuta familia yake yote imeteketezwa.!

Kinga ni bora zaidi kuliko tiba.

sasa wew si uandamane
halafu huo UKUTA mbona sijawahi kuona huku kwetu klmjaro licha ya kuusikia , zaidi ya propaganda tu huku mtaandao na mabandiko yenu
 
Wanabodi
Salaam;

Jf ni mahali ambapo Rais wetu anapenda sana kusoma na pengine hata ni member hapa. Nataka nimwambie ukweli huu ili aingilie kati.

1-Rais tofauti na unavyoaminishwa kuhusu UKUTA kuandamana sept.01,kwamba hawatafanikiwa,ukweli maandamano yatakuwa makubwa kuliko matarajio ya serikali. Hili likitokea serikali itakwama kwenye kila kitu. Kinga ni bora kuliko tiba.

2-Kauli za police na wakuu wa mikoa juu ya UKUTA,ni kauli zenye kuleta mgawanyiko,kumbuka hao wanaotamka kuna wakati wanavua hayo magwanda na kurudi uraiani,kwa wanachokifanya wanajenga chuki kali na raia wanaoishi nao huku mitaani. Km utaacha hali hii iendelee na tar.01 sept. UKUTA uwepo,uhasama utakaokuwepo kati ya raia na police utakuwa wa kutisha!

3-km UKUTA utafanikiwa Rais wangu utakuwa umefeli kwa kiwango kikubwa sana! Kinachonitisha mimi,ni uhasama utakaotokea km police wataua raia,halitakuwa jambo la ajabu kukuta hata famili ya askari imetekwa au kufanyiwa kitu cha kikatili zaidi.

4-Rais wewe ndo mtu pekee kwa sasa unayeweza kuzima huu utengano unaotunyemelea. Hali ni mbaya sana mitaani,hela hakuna,watu wamekata tamaa hivyo hawataona shida kuandamana!

5Mwisho-Wasihi police waache kutisha watu,wasidhani kadhia hiyo itaishia kwa wanaowatisha tu,itakuwa hadi kwenye familia zao. Police ataua akiwa na sare,lkn akirudi kwake anaweza kukuta familia yake yote imeteketezwa.!

Kinga ni bora zaidi kuliko tiba.
Umejuaje kuwa anapenda kusoma JF news! Very interesting to know!
 
Sidhani kama kuna MTU wa kuandamana ikiwa kiongozi wa maandamano katimkia UK
 
Wanabodi
Salaam;

Jf ni mahali ambapo Rais wetu anapenda sana kusoma na pengine hata ni member hapa. Nataka nimwambie ukweli huu ili aingilie kati.

1-Rais tofauti na unavyoaminishwa kuhusu UKUTA kuandamana sept.01,kwamba hawatafanikiwa,ukweli maandamano yatakuwa makubwa kuliko matarajio ya serikali. Hili likitokea serikali itakwama kwenye kila kitu. Kinga ni bora kuliko tiba.

2-Kauli za police na wakuu wa mikoa juu ya UKUTA,ni kauli zenye kuleta mgawanyiko,kumbuka hao wanaotamka kuna wakati wanavua hayo magwanda na kurudi uraiani,kwa wanachokifanya wanajenga chuki kali na raia wanaoishi nao huku mitaani. Km utaacha hali hii iendelee na tar.01 sept. UKUTA uwepo,uhasama utakaokuwepo kati ya raia na police utakuwa wa kutisha!

3-km UKUTA utafanikiwa Rais wangu utakuwa umefeli kwa kiwango kikubwa sana! Kinachonitisha mimi,ni uhasama utakaotokea km police wataua raia,halitakuwa jambo la ajabu kukuta hata famili ya askari imetekwa au kufanyiwa kitu cha kikatili zaidi.

4-Rais wewe ndo mtu pekee kwa sasa unayeweza kuzima huu utengano unaotunyemelea. Hali ni mbaya sana mitaani,hela hakuna,watu wamekata tamaa hivyo hawataona shida kuandamana!

5Mwisho-Wasihi police waache kutisha watu,wasidhani kadhia hiyo itaishia kwa wanaowatisha tu,itakuwa hadi kwenye familia zao. Police ataua akiwa na sare,lkn akirudi kwake anaweza kukuta familia yake yote imeteketezwa.!

Kinga ni bora zaidi kuliko tiba.

Peleka porojo zako kwa mbowe!​
 
Ameshamaliza jukumu lake, msiandamane anaenisha ajitokeze hiyo tar 1 sept kuandamana period. Tanzania is sovereign state na Rais ndie mkuu wa nchi. Atakaeenda kinyume nae hayuko pamoja na watanzania 45 milioni hatavumiliwa..
 
Wanabodi
Salaam;

Jf ni mahali ambapo Rais wetu anapenda sana kusoma na pengine hata ni member hapa. Nataka nimwambie ukweli huu ili aingilie kati.

1-Rais tofauti na unavyoaminishwa kuhusu UKUTA kuandamana sept.01,kwamba hawatafanikiwa,ukweli maandamano yatakuwa makubwa kuliko matarajio ya serikali. Hili likitokea serikali itakwama kwenye kila kitu. Kinga ni bora kuliko tiba.

2-Kauli za police na wakuu wa mikoa juu ya UKUTA,ni kauli zenye kuleta mgawanyiko,kumbuka hao wanaotamka kuna wakati wanavua hayo magwanda na kurudi uraiani,kwa wanachokifanya wanajenga chuki kali na raia wanaoishi nao huku mitaani. Km utaacha hali hii iendelee na tar.01 sept. UKUTA uwepo,uhasama utakaokuwepo kati ya raia na police utakuwa wa kutisha!

3-km UKUTA utafanikiwa Rais wangu utakuwa umefeli kwa kiwango kikubwa sana! Kinachonitisha mimi,ni uhasama utakaotokea km police wataua raia,halitakuwa jambo la ajabu kukuta hata famili ya askari imetekwa au kufanyiwa kitu cha kikatili zaidi.

4-Rais wewe ndo mtu pekee kwa sasa unayeweza kuzima huu utengano unaotunyemelea. Hali ni mbaya sana mitaani,hela hakuna,watu wamekata tamaa hivyo hawataona shida kuandamana!

5Mwisho-Wasihi police waache kutisha watu,wasidhani kadhia hiyo itaishia kwa wanaowatisha tu,itakuwa hadi kwenye familia zao. Police ataua akiwa na sare,lkn akirudi kwake anaweza kukuta familia yake yote imeteketezwa.!

Kinga ni bora zaidi kuliko tiba.
Acha uongo wewe kijana..
Huku kwetu Masasi mtwara sina uwakika kama hata watu mia watafika kaka wakiandamana..
Yaani huo ukuta unakuzwa huku JF na katika baadhi ya vyombo vya habari,,,..
Na kwa mazoezi haya ya polisi(ccm) sina uwakika hata kama watu watajitokeza barabarani kama sio kutazama video tuu.
Acha kuongopea watu bana.. Ukuta uko mitandaoni tuu kaka....
 
Mi nipo wilaya ya Hai. Jimbo la hai. Mbunge wangu ni m/kiti wa maisha na mrithi pekee wa cdm. Huku watu wanapiga kazi tuu. Story za maandamano ukuta wala watu hawana habari nayo
 
wengi wangependa maandamano yasiwepo,kuwe na mazungumzo ya Amani,ila sehemu ilipofikia maandamano hamna bidi yatokee,haiwezi kureverse,so sad,lets wait and see ...
 
Acha uongo wewe kijana..
Huku kwetu Masasi mtwara sina uwakika kama hata watu mia watafika kaka wakiandamana..
Yaani huo ukuta unakuzwa huku JF na katika baadhi ya vyombo vya habari,,,..
Na kwa mazoezi haya ya polisi(ccm) sina uwakika hata kama watu watajitokeza barabarani kama sio kutazama video tuu.
Acha kuongopea watu bana.. Ukuta uko mitandaoni tuu kaka....
wanao iona Tanzania nzima akina Jaji mtungi wapo Dar ww huko mtwara ukion sana mwisho lindi
 
Ndio ujuwe kuwa kuna sehemu hamna hata chembechembe ya ukuta kaka....
Kama mutungi analiona hilo kwa kuwa na yeye natembelea mitandao....
 
Naomba watu waheshimu mamlaka zilizopo kwann baadhi ya watu wanapenda majaribu tujenge nchi badala ya kutoa matamko ya kuandamana kuna nn nyuma yake? Tafadhalini wote mnaopanga kuleta fujo tareh 1.9.2016 acheni hivyo heshimuni mamlaka iliyopo hatujafikia kuandamana andamana wakati wenzetu wanajenga nchi tafadhalini tena na tena.
Hakuna kuheshimu mamlaka uchwala acheni uoga wanaume, ndio maana nchi yetu INA raslimali lakini miaka 50 ya Uhuru barabara za lami haziunganishi nchi, nyambafu uoga tuuu
 
Mi nipo wilaya ya Hai. Jimbo la hai. Mbunge wangu ni m/kiti wa maisha na mrithi pekee wa cdm. Huku watu wanapiga kazi tuu. Story za maandamano ukuta wala watu hawana habari nayo

mkuu mim nipo hapa msufini kabisa wala hizo taarifa sina kama kuna UKUTA labda nikasema , UKUTA ni kwa baadhi ya maeneo tu maana naona watu wako busy na kuvuna mahindi yao
 
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Hotuba ya Freeman Mbowe:Naweletea Live Updates sehemu ya kwaza ya Hotuba hii.Sehemu ya kwanza pia wanahabari wamealikwa na Sehemu ya pili ni kikao cha ndani.

Updates:
-Nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia Afya ya kukusanyika hapa tena

-Kwa niaba ya chama napenda kutumia fursa hii kuwapongeza viongozi wa kanda ya Kaskazini kwa kazi kubwa mliyoifanya kipindi cha uchaguzi mkuu.
-Tumepata Madiwani,Halmashauri , Wabunge wengi na kura nyingi za Urais kuliko kipindi kingine chochote
- Mkoa wa Tanga hatujaweza kutoa mbunge lakini ndani ya Ushirikiano wa UKAWA tumepata Mbunge na Madiwani wengi.
Napenda kuwatia Moyo makamanda na wananchi wote wa Tanga .Naomba Mkutano huu uweke azimio maalumu la kuukomboa Mkoa wa Tanga kutoka kwenye makucha ya CCM

-UJUMBE KWA TAIFA

-Tulipoamua Tarehe 1 Septemba iwe siku maalumu ya kuanza operesheni ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania(UKUTA) hatukupanga kwa nia ya kumjaribu mtu na kama kuna anayefikiria tunamjaribu Asubiri aone kwa kuwa tunapotetea na kulinda katiba na Sheria za nchi hatutamuogopa yeyote yule. Kamwe hatumuogopi!

-Rais na Wabunge wote waliapa,Waliapa kuilinda katiba ya nchi.

-Sisi kama Chama kikuu cha Upinzani ni kuangalia,Kuishauri na kuikosoa Serikali

-Wananchi hawakutupa dhamana ya kulea na kufumbia maovu hasa yale yanayokiuka haki za msingi za Kikatiba.Kamwe hatuwezi kuwa sehemu ya Wavunja sheria na katiba ya nchi

-Rais au Yeyote yule anapotoa Matamko yanayokinzana na Katiba,Tutamkatalia

-Rais Magufuli anatangaza kuzuia mikutano ya kisiasa hadi 2020 .Utaratibu huu unakiuka Sheria za vyama vya siasa na katiba ya nchi.Sheria inatamka kuwa mikutano ya kisiasa ni haki ya vyama.Rais anaamua yeye anavyojua kinyume cha sheria eti Yeye peke yake na chama chake ndiye mwenye haki ya kufanya mikutano lakini sisi wengine tusubiri hadi 2020 ndipo tutekeleze haki yetu kikatiba na kisheria

Kwamba haki ya wengine inapoishia ndipo haki yake inapoanzia. Tutawaongoza wananchi kumkatalia,Hatumjaribu bali tunatetea haki ya wananchi kutoa maoni yao

MAAMUZI YA KAMATI KUU

-Uamuzi wa Operesheni hii ni uamuzi wa kikao halali cha Kamati kuu kilichoketi kwa siku 4 Mfululizo

kamati Kuu iliamua katika utekelezaji wa maazimio haya ,yaundwe makundi 5 maalumu yakiongozwa na wajumbe wa kamati Kuu

(i):Kundi la Kwanza linaongozwa na Prof.Mwesiga Baregu. Kundi hili lilipewa majukumu ya kujenga mahusiano shirikishi(Inclusiveness) ya ndani kama asasi za kiraia,makundi ya kidini,taasisi mbalimbali na Jumuiya ya kimataifa. Kwa kuwa Suala hili sio suala la CHADEMA pekee
(ii): Kundi la Fredrick Sumaye-Kwa ajili ya kushughulika na Masuala ya Kiserikali na Kibunge
(iii)Edward Lowassa-Kundi hili linajihusisha na upashaji habari kwa Umma
(iv): Kundi la Sheria litaongozwa na Tundu Lissu.
Kundi hili lenye wanasheria maahiri kabisa linaandaa mashitaka 21 katika mahakama za ndani kwenye kanda zote nchini,Afrika Mashariki na Mahakama za kimataifa
Tunataka Dunia ishuhudie jinsi ambavyo Utawala Wa Magufuli unavyojiandaa kuvunja haki za binadamu.

5-Kamati ya Maandalizi/Mikakati.Yaani kamati za kikanda

Viongozi wametapakaa katika kanda zetu zote

Mhe.Lissu na timu yake ya Wanasheria wamebaki Makao makuu kuandaa mashitaka na Shughuli za kisheria kuelekea Septemba Mosi

-Kuna watu wanafikiri UKUTA inaua UKAWA. Hatuna utengano na wenzetu wa UKAWA

Wenzetu CUF wanajiandaa na Uchaguzi Tarehe 21/08/2016 kumchagua Mwenyekiti Mpya

-Natumia fursa hii kwa niaba ya Chama Chetu kuwatakia kila la Kheri CUF katika uchaguzi huu wa viongozi wa kitaifa na pia kuwaombea heri
Mbinu za watawala zinazolenga kuwagawa Wana-CUF zitashindwa

-NCCR-Mageuzi tupo nao na pia Wiki Ijayo kutakuwa na kikao cha viongozi wakuu wa UKAWA kuhusiana na suala hili
Hata jana nilipotoka Dar Es Salaam nilikutana na viongozi wenzangu.Kwa hiyo ndani ya UKAWA hakuna shida yoyote kama ambavyo watawala na vyombo vyao wanavyojaribu jaribu kupotosha

-Hata Wana-CCM tunawakaribisha.Suala hili ni la Watanzania wote wanaochukia maovu

-Tulitarajia kuwa Rais Magufuli na chama chake angeweza kuwaomba vijana wa CCM(Kama wanao wa Kutosha) waingie barabarani kuwaunga wao mikono lakini badala yake ameona busara kutumia majeshi,kutumia vyombo vya Dola kuingia Barabarani

-Leo waliposikia tuna vikao wakaanza kusambaza vikosi vya polisi barabarani .Leo wamesambaza vikosi kila mahali
-Natumia fursa hii kuonya jaribio la kutumia askari hawa ambao ni ndugu zetu kulinda Uovu
-Septemba Mosi hatuendi,kupambana na Dola

-Kama ilivyo kwa madikteta wote,hata huyu anayetisha watu nae anahofu.Anataka kututia hofu kwa vyombo vya dola lakini sisi hatumuogopi kwani sisi tuna Mungu

-Natambua kuna wito wa viongozi wa Dini kutukutanisha.Hatukatai wito kwa kuwa tunawaheshimu.Tutawasikiliza na tutawaeleza msimamo wetu .

Magufuli ndiye anayevunja amani ya nchi hivyo viongozi wa Dini wamkanye kabla hali haijawa mbaya

-Tumeviandaa vyombo vya habari na vya kimataifa ili Septemba Mosi Dunia ishuhudie uovu wa Serikali ya Magufuli

-Tunajua hata baadhi ya Wana-CCM ni waathirika wa Uonevu Huu ,Wasio na vyama na wengine wote tunawakaribisha

Asanteni Wanahabari.Sasa tutaanza kikao chetu cha Ndani kwa mikakati kabambe

Tunawashukuru na Mwenyezi Mungu awabariki katika kazi yenu
Bado tuna safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom