Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Nipo ngangari kwa kupinga udikteta uchwara September 1
 
Naomba watu waheshimu mamlaka zilizopo kwann baadhi ya watu wanapenda majaribu tujenge nchi badala ya kutoa matamko ya kuandamana kuna nn nyuma yake? Tafadhalini wote mnaopanga kuleta fujo tareh 1.9.2016 acheni hivyo heshimuni mamlaka iliyopo hatujafikia kuandamana andamana wakati wenzetu wanajenga nchi tafadhalini tena na tena.
Hivi Mkuu hawa wanaotaka kuandamana wametoa sababu gani iliyopelekea wao kutaka kuandamana? uki trace back utajua ni maamuzi kandamizi ya serikali, la sivyo hayo maandamano yasingekuwepo
 
Namna nzuri ya kupunguza nguvu ya upinzani ilikuwa ni kuwaruhusu wafanye mikutano na maandamano kama wanavyotaka.

Tena baada ya mikutano na maandamano Rais angeongea kusema amewasikia na pia kuwasihi sasa wajikite kuijenga Tanzania.

Kuwazuia ni kujitia gharama kwa kila namna maana wanayo haki kikatiba.

Mara nyingi marais wanaotumiaga nguvu kuzuia mikutano au maandamano ni wale ambao hawapo kihalali.

Sisi Tz Rais wetu amepatikana kihalali na anakubalika, hivyo hana sababu ya kujitia dosari.

Ajikite kuwaunganisha Watanzania, na hilo ni jambo la hatua kwa hatua.

Mkuu Martinez, Kumbe matendo ya kukandamiza demokrasi ya Mtukufu Rais Magufuli yanatoa picha kuwa yeye si matokeo ya demokrasia na ya kwamba anajishuku kuwa hakupatikana kihalalali kama yule wa Zanzibar.
 
Watanzania msidanganywe Huyo mbowe ameshanunua ticketi tayari kwa kwenda uingereza na imeshafahamika kuwa tayari ameshatanguliza familia yake,kwa kuwa katangulia kukimbia na sumae nae kashakimbia kwenda Huko ASIA sasa kwa nini nini mtoa mada unadanganya watanzania ? Nadhani kwa kuwa wewe ni mchochezi kabla polisi hawajakukamata sisi wananchi tutakumata. Mbowe aiwadanganye soma hito Taarifa hapa chini
 

Attachments

  • IMG-20160820-WA0006.jpg
    IMG-20160820-WA0006.jpg
    73.5 KB · Views: 32
Maneno hayavunji mfupa ndio siasa,hakuna haja ya kupigana au kutambiana,mnaumiza watu wengine.Bila maelewano tunakwenda pabaya.
 
Upumbavu mwingine ni shida! Ina maana hao polisiccm huambiwa ashambuliwe aliye mbele tu? Ina maana Kamanda Mbowe akiwa nyuma hayo mapolisiccm yamekatazwa kumshambulia? akili za maccm hazina akili Lol!
povu plus plus.
 
Jpm hawezi kuonywa na mtu felia kama huyu.
Acha kujidai unajua wewe, sisi ndio maboss wake! Tatizo shule yako ndogo Mno kiasi kwamba huko Simiyu unawadhalilisha wenzio! Jitu zima linaandika shudu kila siku! Tumia kichwa makalio yana kazi yake! Bastard!
 
Habari Mkuu,Ben saanane!!

Nasubiri updates za kina pamoja na Kauli rasmi ya Maandamano ya Tar 01.Asiishilie kuwataka wananchi katika maandamano tu,bali nitafarijika kama atasema tutakuwa Mstari wa mbele na wake zetu,Nategemea siku hiyo kumuona Mama Lowassa,Mama Mbowe,Mama Lissu na wake za viongozi woote wa UKUTA.
Wake wao Unataka Kuwafanya nini? Unajua akili ikiingia njaa hata mbwa unaweza kudhani kitoweo
 
Andamaneni mpelekwe sero mfanywe kama alivyofanywa Tundu Lissu mpaka Leo hatamani kurudi sero.
 
Back
Top Bottom