Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Jpm hawezi kuonywa na mtu felia kama huyu.
Hata Dikiteta Idi Amini alitumia uamirijeshi wa jeshi lake la Uganda lakini baadaye yakamshinda akawa mkimbizi, Magu asimdhihaki Mungu kukandamiza demokrasia kwa kulitumia jeshi la watanzania vibaya.
 
Hata Dikiteta Idi Amini alitumia uamirijeshi wa jeshi lake la Uganda lakini baadaye yakamshinda akawa mkimbizi, Magu asimdhihaki Mungu kukandamiza demokrasia kwa kulitumia jeshi la watanzania vibaya.
Subirini mshughulikiwe
 
Shikeni adabu nyie... Mnamuonya vikali rais kwa kitu gani? Hakuna sababu ya kubweka kila saa ili watu wakuoneni bado mpo wakati cdm has become irrelevant and a reactionary party.
Wanamuonya rais vikali na hapo hapo wanasema huu ni utawala wa kidikteta. Makubwa. Wanafahamu ni nini wanachoongea? Huu uasi wa wazi wazi ni lazima ukomeshwe. Hauvumiliki.
 
Tar.1 pia kufanyike maandamano ya kumshinikiza Mbowe aache udikteta wa kung'ang'ania uenyekiti wa Chadema ,Mbowe kawa mwenyekiti wa Chadema kabla JK hajawa rais wa Tanzania.
Pitia mafaili yako vizuri
 
Hivi kesho Lusinde au "Msukuma" akichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM, binafsi utafanyaje, na je wananchi walio mchagua waliangalia au kuzingatia nini?
mmh elimu ya lusinde ni sawa sawa na elimu ya ole nangole mbunge wa longido-chadema, elimu ya msukuma ni sawa na elimu ya sugu mbunge wa mbeya mjini, by the way hayo ya ccm, mm hayanihusu! mi nazungumzia chama changu CHADEMA, a.k.a chama kubwa!!
 
Back
Top Bottom