Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Hotuba ya Freeman Mbowe. Amuonya Vikali Rais Magufuli

Wakati mwingine tunalazimika kutoa povu ili kujaribu kuzimua akili za kimaiti za macc, munaoshangilia kutumia polisiccm kuua watazania kisa utamu wa madaraka Lol.
Anaekushawishi uende kwenye ukuta ndiye mwenye uchu wa madaraka na ndo mana wakati wewe uko kwenye ukuta yeye yuko home kwake wanagongeana champagne na mke wake kwa matumaini kwamba mkimaliza ukuta yeye atatwaa madaraka,matokeo yake wewe unaishia MOI kitandani na yeye madaraka anayokusudia hapati,malengo yenu yanakuwa yameyeyuka.
 
Mbowe niliwahi kuwwaambia kuwa angesoma hata degree angekuwa na viwango na asingewachonganisha watanzania halafu akakimbia kwenda uingereza,Mafal
Kasi ya Prof. Muhongo inatisha....

WABUNGE WA MKOA WA MARA - VITABU VYA SHULE: Ndugu zangu Waheshimiwa Wabunge wa Vyama vyote vya Siasa, napenda kuwataarifu kwamba vitabu vya Shule za Sekondari na Msingi tayari vimewasili Bandari ya DSM (40ft - container) na tunategemea kukamilisha zoezi la kuvipokea na kuvisafirisha hadi Musoma ndani ya wiki 2. MJITAYARISHE kuvipeleka Majimboni mwenu kutokea Musoma.

Prof. S Muhongo, Mbunge
a ndio watabaki kuandamana.
 
Kama mwanaume abaki hapa hapa Tanzania huyo Mbowe ...asidanganye watanzania utakuwa mjinga unadanganywa na Mbowe unaandamana anakuja kukuona hospitali...
 
ukitangulizwa mbele maana yake umefanywa chambo kutokana na kwamba hata ukiperish ni sawa tu kwao kwa kuwa hauna umuhimu kihivyo.Epuka sana kufanywa chambo ndugu.
Kwahiyo akili yenu maccm imekuwa kichaa na kuamua kuua watanzania wenzenu kisa utamu wa madaraka? Msiishie kuua tu muanze na kufanya kitowe nyama za watu kama kule Uganda.
 
Acheni maneno mengi andamaneni bhana kila siku matamko?
Iko siku hao polisi mnao wategemea watazidiwa nguvu na hapo shughuli itakuwa pevu. Kama huamini ingalieni video jinsi dictator wa iliyo kuwa Romania alivyo dakwa baada ya majeshi yake kuzidiwa nguvu na wananchi.
 
HUU unaosema ni uzushi wenye nia ya kudumaza watu...ulishaona wapi wapigania haki, wapigania uhuru au wanaharakati kuwa ni lazima wawe mstari wa mbele?? Au eti watangulize familia zao? Akina mkwawa walivopambana na wakoloni mbona hatukuambiwa km walitanguliza familia zao? Mfano rahisi mbona Mama Maria Nyerere hakutangulizwa kwenye vita Ya Kagera...kama mnataka kuwaonya watu wasishiriki maandamano tafuteni maneno yenye ukweli na sio kudhani wote ni wajinga kwa kuwa mmejitahidi kudumaza elimu mashuleni...labda niulize kwani watu wakiandamana shida iko wapi?? Mnaogopa nini...wakati nyie wenyewee mlikuwa mnaimba...waacheni waandamane eee....
Nyie si mnamuiga Mandela, haya kaeni mbele kama yeye! Kudadadeki!
 
Japo kuwa sijawahi kuipenda chadema hata siku moja ila kwa hili nawaunga mkono kwa 100% huyu jamaa anataka kutuharibia nchi kwa maamuzi yake yasiyozingatia sheria au katiba ya nchi,
nilimpigia sana kampeni wakati ule ila kaniangusha sana na sikubaliani nae mambo mengi tu
 
KUWA TU MTANZANIA NI RAA ACHA KUISHI TANZANIA FULL STESS YAANI KILA KUKICHA KIPYA EE MOLA TUNUSURU
jf giza.jpg
 
No matter status ya mwenzako,huwezi kua na akili timamu ukawaita binadamu wenzako wanaoandamana kwa kitu wanachokiamini hakiko sawa kua ni wanywa viroba......hata kama wamekosea,huna haki ya kuwatukana eti ni wanywa viroba,inaonesha unachukulia wanadamu wengine kijuujuu tu...

Jifunze utu,na kujua mahangaiko ya wenzako,sio lazima yawe na mantiki kwenye uso wako,wasikilize ujue kinachowasumbua,sio unaanza kuwatukana,hujasaidia kitu...

Sisi binadamu tupo selfish sana,kama wewe unajiona sio mnywa viroba,wale wengine ndio wanywa viroba,tuseme ni hivyo basi,umetatua tatizo?Utawaua,halafu utakua umepata nini kwa mfano?Ndio viwanda vitakuja?Stupidity tu.
Kweli ni stupidity, Ibilisi amewajaza roho chafu hata hawaijui thamani ya Watanzania wenzao. Ila wamuulize Mzee Mkapa, alivyowaua Watanzania kwa kuwaita Wapemba, Wazee wote wenye akili na busara walimbadilikia mno. Nakumbuka Mzee Waryoba kama sijakosea alifika mahali akatamka wazi kuwa Jeshi la Polisi lililoanzishwa na kulipwa kwa kodi za Watanzania haliwezi kuwageuzia bunduki na risasi zilizonunuliwa kwa kodi zao. Hata Majaji wa wakati huo walikuja juu. Magufuli asidhani wenye akili na busara watamchekea.
 
We naye unaonesha sifa ya ung'ombe tu hapa. Kama haujui mwenyekiti alishatangazia ulimwengu kuwa anaongoza ng'ombe wenye mikia na wasio mikia piga kimya.

Kwahiyo kwa akili zako za CBE mwenyekiti wako akisema anaongoza ng'ombe na wewe unachukulia literally kabisa hao wananchi ni ng'ombe?...

Sasa wewe "mwanaCBE" una mandate gani kumwambia mwingine apige kimya?Hivi CBE ni univeristy?Nimesahau kidogo....if u can see my super sarcasm[emoji111]️[emoji111][emoji111][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom