georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
Hiyo ni kawaida kwa Wachagga. Kwa Wachagga bila kupiga Kiporo cha machalari/ngararimo/Shiro/ngashi/sowe/shia na chai siku yao haijaanza.Sasa si afadhali hata huo unapikwa asubuhi watu tushakula sana kiporo cha ugali na chai asubuhi alafu freesh tu unadunda mtaani!
