Itawashangaza wale wavivu wa kutembea ambao wamezaliwa Kilimanjaro wamekulia Kilimanjaro wamesomea Kilimanjaro kilakitu yeye ni Kilimanjaro tu. Keshazoea kwao Asbuh anakunywa kikombe cha uji wa mihogo, basi wanafikiri watu wote sehem zote ni hivyo hivyo.Mkuu tunaangalia tamaduni zetu waTz kwa kawaida ni mchama ama usiku ila hii ya asubuhi itawashangaza wengi
Mkuu kama watu hapa hapa mjini wanakula viporo vya wali maharage, iweje washindwe kumemena nguna!!!
Kwa taarifa yako wale wakulima wa Kisukuma au Kikurya, huwa wanakula ugali mkubwa wa dona halafu pembeni kunakuwa na ugali mdogo wa sembe...huo ugali mdogo ndio unafanywa kama mboga...na hayo yote hufanyika sio asubuhi bali ni alfajiri jogoo wa kwanza tu akiwika
aiyaaa mura kweri wewe ni wa taaarime!
Kama kazi ni bao asubuhi hadi jioni, then ngoma,huwezi zege la asubuhi.hii kali kwa watu tuliokulia pwani
Halafu we binti una kumbukumbu hatari. Marula, kichuri na ugali wa udaga pilipili kwa mbaliiiii
charminglady unamuona huyu mdogo wako anazungumzia JJ CLUB, ukimwambia Makaranga Disko atashangaa.
fika hotel yoyote ile na hasa kwa migahawa yote apo tarime mjini,ila ya butiama ni baraa
Mkuu tunaangalia tamaduni zetu waTz kwa kawaida ni mchama ama usiku ila hii ya asubuhi itawashangaza wengi
Huyu wa juzi huyu.... Enzi za Marura na Makaranga hazijui... JJ ya juzi hiyo!!!!!
Mkuu... sio yeyote, ujue kuna wataalamu wa hiyo makitu. Kwanza uchomaji wa nyama, pili upikaji wa ugali tatu na tamuuuuuuu kuliko uandaaji wa Kichuri. Wacha wewe unaeza jing'ata kidole!!!!
ahahaha,sijui kwa nini anaitwa Makaranga? makaranga imefunguliwa 1990,jj ni ya juzi sana
Mkuu... sio yeyote, ujue kuna wataalamu wa hiyo makitu. Kwanza uchomaji wa nyama, pili upikaji wa ugali tatu na tamuuuuuuu kuliko uandaaji wa Kichuri. Wacha wewe unaeza jing'ata kidole!!!!
mbona kawaida mkuu ,uvira hapo congo watu hawanywi chai wanagonga ugali na kisamvu asubuhi , na karibu wacongo wote chai wanaijua huku TZ .
Kwangu imekuwa news baada ya kukuta mgahawa mmoja jijini Dar wateja wake wakila ugali mida ya saa mbili asubuhi. Je hii ni kawaida?!
Maoni yako ni yapi ikiwa karibia hotel kadhaa zikaamua kupika saubuhi chakula kinacholiwa mchana,bila kujali ni ndizi,wali ama ugali na maharage
Mkuu... Hilo ni jina la Mzee mmoja alikuwa anaitwa Chacha Makaranga. Akaauma kuitwa bar / club yake Makaranga..
Basi enzi hizo za primary wakati imefunguliwa tulitunga wimbo wa mchakamchaka... Tuliimba hivi..
"Mwenyekiti wetu Chacha Makaranga, wakong'a wasing'ara ku inkundo ya mande"
Aione Mwita Maranya na platozoom...
Mkuu... Hilo ni jina la Mzee mmoja alikuwa anaitwa Chacha Makaranga. Akaauma kuitwa bar / club yake Makaranga..
Basi enzi hizo za primary wakati imefunguliwa tulitunga wimbo wa mchakamchaka... Tuliimba hivi..
"Mwenyekiti wetu Chacha Makaranga, wakong'a wasing'ara ku inkundo ya mande"
Aione Mwita Maranya na platozoom...
Akha akha
Polepole dada yangu. Mgambo wa JF hawachezi mbali.
Halafu nimemkumbuka dada mmoja alikuwa madarasa kadhaa mbele, yeye kila mtihani wa mhula anakuwa wa mwisho darasani.
Lakini alikuwa na bidii ya kuja shule na kutii taratibu zoote. Wakati wanasoma majina ya watu wa mwisho, kabla Mwalimu hajamaliza wanafunzi wanaitikia kwa kumtaja jina "Kinyunyiiiiiiii Chonchoriiiiiiiii".
charminglady unamkumbuka?