ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,043
Kuna entobheke inawekwa kwenye (ntahe) thermos ya kikurya alafu kuna ule uji wa mkwelima na pembeni ufuta ulokaangwa ukachanganywa na ulezi wa kukaanga (vinaongeza nguvu za kiume ma mkwe be blessed kwa makusudi uliyonilisha hivyo)umenikubusha ubhusara iyo kitu tamu balaa,wanakateknolojia kao jinsi ya kutengeneza,ila mwisho wa maneno kuna uji wao special wanutengeneza wakati wa harusi,jina nimesahau la huo uji,ni mtamu kupita maelezo,hii watu ya pande ya tarime inafaidi vitu vitatamu tamu.