Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,069
- 10,012
Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila kule hali ni tofauti.
Niko hoteli nyingine leo, the same sh*t, jamaa kakomaa na kamera lake anataka kupiga picha ikabidi nimkumbushe sheria ya taarifa binafsi. Tabia hii siioni kwenye hoteli nyingi za Dar ambapo mtu unakuwa na amani unakaa kwa kutulia.
Nadhani hii ni tabia ya kijinga sana, na nitaanza kutumia sheria kwa yeyote atakayeleta za kuleta ili wajifunze kuwa na adabu. Mwendo ni kama waliofanyiwa CRDB tu kulipa mamilioni