KERO Hospitali ya Seifee ijitathmini au ilazimishwe kujitathmini

KERO Hospitali ya Seifee ijitathmini au ilazimishwe kujitathmini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwa ufupi hii huduma ya Afya imevamiwa....hakuna ueledi watu wanafanya/ kutoa huduma km vile wamelazimishwa na huduma imekuwa ni biashara kingine watoa huduma hawana mharifa...makanjanja...
 
Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/

Hizo hela siyo ishu,

Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
Haina jina?
 
Shida ya Tanzania ni CCM, ndio maana kila kitu kimekuwa shida na holelaholela.

CCM kama chama dola toka Uhuru kimeshindwa kuweka mifumo sawa ili kila kitu kiwe chini ya udhibiti ( under control) matokeo yake kila kitu kiko nje ya udhibiti (out of control).

"You set the standard, you control the standard, people leave the standard"
"When there is no standard, there is nothing to control and everything will be out of control."
 
Kama unaona gharama za hospital ni kubwa!nendaa huko paku pakavu Kina Mwananyamala,acha makasiriko kama huna helaa kaa kwa kutulia.
Mbona matajiri kubao wanaenda izi hospital na hawatoi iyo milio??!
Tatizo wabongo wengi mnapendaa kwenda sehemu ambazo hamuwezi kugharamia mwisho wa siku ni vilio.
 
Kuwa makin , usikute uoga wa OP ndo unakudanganya , hakunaga case ya surgery inatibiwa kwa dawa , kuwa makin narudia kuwa makini

Uoga usikufanye usifie plan B ambayo haitatui ttzo bali kuondoa athari za ttzo zisi onekane
Ah wapi.. kwa hii ishu yangu mpk leo nisingetoboa.. dawa yenyew ya maji ile ya kumiminia jichoni na wala sio sindano wala ya kunywa.

Kwa miaka yote hiyo tyr shida ingerudi.
 
Majibu unaweza kuyasubiria au ukatumiwa kwa email
Ukiyapata unaendelea na utaratibu mwingine ...
Ukiona jau nenda mwananyamala au amana tu

Ova
 
Kipindi wanaijenga nikajua Hotel au Apartment nikatoka nje ya mkoa nikakaa nusu Mwaka narudi Daslam nakuta ni bonge la Sibitali sasa ndugu yangu nikajua patakua special sana kumbe miyeyusho hivyo ama kweli sura Sio Roho
(Majengo Sio Huduma)
Maana hata jengo la bunge ni zuri ila ndani kuna misukule ya Lumumba!
😁😁

Kwako Maghayo Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr adriz
Tupia kapicha na sisi wa huku Rombo mashati tuione
 
Majibu unaweza kuyasubiria au ukatumiwa kwa email
Ukiyapata unaendelea na utaratibu mwingine ...
Ukiona jau nenda mwananyamala au amana tu

Ova
Halafu email itakutafsiria majibu yako na kukupa dawa?
 
Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/

Hizo hela siyo ishu,

Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
Kuna haja ya kusafiri na kujifunza. Kuna hospitali kama KCMC moshi. Mimi nilishangaa rafiki yangu mmoja mkewe akimpeleka kule kujifungulia. Kwao ni rombo kwa hiyo nilijiuliza kwa nini. Nakumbuka Bosi wangu akiumwa na Corona na alitibiwa KCMC. Kwangu mimi ile KCMC wapo vizuri sana. Ila watanzania wengi hawaijui hilo.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Hahaha hizo bei ni za kawaida sana hao ni wawekezaji.

BOT imewakataza wasi charge service kwa dollar lakini 50, 000 ni kama $22.
Wamejaribu kurahisisha ilu ulipe kwa Tsh wakati wao pia wakijaribu kuto iudhi serikali.

Kwenda huko ni kutaka, ungeenda hospitali ya serikali na bima yako labda usingeandika uzi huu.

Ugua pole lakini.
Kwanza mimi ni wa cash, pili ni marekebisho tu ya utaratibu pale yanatakiwa, tatu ni kuhusu uwiano kati ya consultation fees na gharama za huduma.

Nini lengo:
Lengo ni ikiwezekana consultation fees iwe rafiki
Ili kunusuru raia kula dawa bila kupima
Au waweke utaratibu wa kuruhusu watu kupima na kuchukua majibu yao bila kumuona dokta yaani maabara ijitegemee
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuna haja ya kusafiri na kujifunza. Kuna hospitali kama KCMC moshi. Mimi nilishangaa rafiki yangu mmoja mkewe akimpeleka kule kujifungulia. Kwao ni rombo kwa hiyo nilijiuliza kwa nini. Nakumbuka Bosi wangu akiumwa na Corona na alitibiwa KCMC. Kwangu mimi ile hospitali ipo vizuri sana. Ila watanzania wengi hawaijui hilo.
Ipi sasa ipo vizuri,kcmc au hii niisemayo
 
Hiyo hospitali ni special kwa very selected few.

Niliwahi mpeleka mtoto na kipindi cha kwenda kuchukua majibu kwa daktari akaja tajiri mmoja maarufu akiambatana na mke na mtoto.
Ikiwa nishaitwa jina, walinipiga stop kwamba aingie yeye kwanza kwamba alikuwa na Pre-appointment.

Tafrani niliyoizua pale ilibidi hata huyo tajiri aone aibu na kusema atasubiri niingie tu.

Kufika kwa Dokta kwanza alitaka kuleta kisirani kwamba nimefanya fujo, lakini baada ya kumpa dozi yake ya maneno na mikwara juu alinywea na kuwa mstaarabu.

Seifee wana one of the poorest services ever. Ila wame invest kwenye matangazo mengi.
Ukiona mtu ananyeyekewa ni aidha maarufu ama tajiri, kusahau kuwa hata wateja wengine hawatibiwi bure.
 
KCMC, hospitali siyo majengo. Kuna kitengo kizuri na kikubwa cha macho. Kipindi cha Corona kulikuwa na mtambo wa kuzalisha oksijeni.
Ooh, yes na ndivyo nilikua nasema

Huo mtambo upo siku nyingi
Kcmc imetimia bwashee
 
Hiyo hospitali ni special kwa very selected few.

Niliwahi mpeleka mtoto na kipindi cha kwenda kuchukua majibu kwa daktari akaja tajiri mmoja maarufu akiambatana na mke na mtoto.
Ikiwa nishaitwa jina, walinipiga stop kwamba aingie yeye kwanza kwamba alikuwa na Pre-appointment.

Tafrani niliyoizua pale ilibidi hata huyo tajiri aone aibu na kusema atasubiri niingie tu.

Kufika kwa Dokta kwanza alitaka kuleta kisirani kwamba nimefanya fujo, lakini baada ya kumpa dozi yake ya maneno na mikwara juu alinywea na kuwa mstaarabu.

Seifee wana one of the poorest services ever. Ila wame invest kwenye matangazo mengi.
Ukiona mtu ananyeyekewa ni aidha maarufu ama tajiri, kusahau kuwa hata wateja wengine hawatibiwi bure.
Wa hovyo kabisa hawa jamaa

Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom