Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,435
- 3,429
Hiyo hospitali ni special kwa very selected few.
Niliwahi mpeleka mtoto na kipindi cha kwenda kuchukua majibu kwa daktari akaja tajiri mmoja maarufu akiambatana na mke na mtoto.
Ikiwa nishaitwa jina, walinipiga stop kwamba aingie yeye kwanza kwamba alikuwa na Pre-appointment.
Tafrani niliyoizua pale ilibidi hata huyo tajiri aone aibu na kusema atasubiri niingie tu.
Kufika kwa Dokta kwanza alitaka kuleta kisirani kwamba nimefanya fujo, lakini baada ya kumpa dozi yake ya maneno na mikwara juu alinywea na kuwa mstaarabu.
Seifee wana one of the poorest services ever. Ila wame invest kwenye matangazo mengi.
Ukiona mtu ananyeyekewa ni aidha maarufu ama tajiri, kusahau kuwa hata wateja wengine hawatibiwi bure.
Hoja yako ya gharama bado ni dhaifu sana!!nimeshakuambia kama unaona haikufai nenda kule Mwananyamala utapokea majibu yako fasta na ghrama za chini!Kwanza mimi ni wa cash, pili ni marekebisho tu ya utaratibu pale yanatakiwa, tatu ni kuhusu uwiano kati ya consultation fees na gharama za huduma.
Nini lengo:
Lengo ni ikiwezekana consultation fees iwe rafiki
Ili kunusuru raia kula dawa bila kupima
Au waweke utaratibu wa kuruhusu watu kupima na kuchukua majibu yao bila kumuona dokta yaani maabara ijitegemee
Acha kupangia watu chakufanya..