torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,463
- 11,077
Noma sana.Kipindi wanaijenga nikajua Hotel au Apartment nikatoka nje ya mkoa nikakaa nusu Mwaka narudi Daslam nakuta ni bonge la Sibitali sasa ndugu yangu nikajua patakua special sana kumbe miyeyusho hivyo ama kweli sura Sio Roho
(Majengo Sio Huduma)
Maana hata jengo la bunge ni zuri ila ndani kuna misukule ya Lumumba!
😁😁
Kwako Maghayo Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr adriz