KERO Hospitali ya Seifee ijitathmini au ilazimishwe kujitathmini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,668
Reaction score
6,374
Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/

Hizo hela siyo ishu,

Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
 
Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/

Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jion bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,

HAtari sana, 60k kwa malaria huu ni wizi -- au ndo mambo ya service
 
Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/

Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jion bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
Ila hata mimi utaratibu wa kuingia kwa daktari kwa kuviziana huwa siukubali hata kidogo aisee --- japo kuna hospitali wanaweka ule mfumo wa ticket ila nao haufatiliwi vizuri
 
Kipindi wanaijenga nikajua Hotel au Apartment nikatoka nje ya mkoa nikakaa nusu Mwaka narudi Daslam nakuta ni bonge la Sibitali sasa ndugu yangu nikajua patakua special sana kumbe miyeyusho hivyo ama kweli sura Sio Roho
(Majengo Sio Huduma)
Maana hata jengo la bunge ni zuri ila ndani kuna misukule ya Lumumba!
😁😁

Kwako Maghayo Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr adriz
 
Mtoa mada acha roho mbaya na umaskini!!
Iyo hospital ni hospital inayohudumia kutokana na vigezo na standards zake!
Mimi wife amekaa hapo hospital zaidi ya miezi miwili,!Kila kitu poa na bei zake ni himilivu ukicompare na Aga khani.
Kama hauwezi huduma rudi kule Mwananyamala haulazimshwi..acha kuchafua watu..
 
😂😂😂😂
Kipindi wanaijenga nikajua Hotel au Apartment nikatoka nje ya mkoa nikakaa nusu Mwaka narudi Daslam nakuta ni bonge la Sibitali sasa ndugu yangu nikajua patakua special sana kumbe miyeyusho hivyo ama kweli sura Sio Roho
(Majengo Sio Huduma)
Maana hata jengo la bunge ni zuri ila ndani kuna misukule ya Lumumba!
😁😁

Kwako Maghayo Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr adriz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom