#COVID19 Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

Habari wadau..!
Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.

Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka.Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen.

Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa taadhali zikifuatwa ,Mungu atunusuru kwa kweli.

Source:ITV habari 06/07/2021
Mbona awatuonyeshi hao wagonjwa
 
Baba yake rafiki yangu kafariki Musoma na Mama yake yupo kwenye oxygen. Rafiki yangu naye kafariki mwaka jana mwezi wa nne na kaka yake katoka hospitali lakini alikaa zaidi ya siku 40 Houston, TX kwenye ICU . Kaka yake bado anatumia oxygen baada ya kupata matatizo kwenye mapafu. Yote hii ni Corona. Mama wanasema atapona anaweza kutoka wiki hii lakini atakuta mzee wamesha zika wiki iliyopita
... poleni sana Mkuu! Tuchukue tahadhari ili ikitokea angalau uwe umetimiza wajibu wako.
 
Habari wadau!

Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.

Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen.

Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa taadhali zikifuatwa ,Mungu atunusuru kwa kweli.

Source: ITV Habari 06/07/2021
CCM "watakua wametumwa na mabeberu"
 
Palikuwa na haja ya kuwamulika wanaobeza tahadhari zilizotolewa ambao wanajulikana:

Habari wadau!

Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.

Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen.

Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa taadhali zikifuatwa ,Mungu atunusuru kwa kweli.

Source: ITV Habari 06/07/2021
Mungu yule yule aliyetupigania kwenye wimbi la 1 na la 2 atalishughulikia hili pia
 
Kila MTU atumie mbinu zake ili hili gonjwa lisiitikise familia take,Ila CHANJO zimetosha zilezile za Malaria na Ndui😓😓
 
Mwenyezi Mungu awape hekima Vijana wa CCM ya kuliongelea janga hili na jinsi ya kujilinda badala ya kupoteza muda kuongelea WEMBE na KUNYOA as if maneno hayo ni mapya katika mikutano ya siasa wakati TOT wameyatungia mpaka wimbo!
 
Habari wadau!

Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.

Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen.

Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa taadhali zikifuatwa ,Mungu atunusuru kwa kweli.

Source: ITV Habari 06/07/2021
Siungi lockdown ila ,serikali sogezen mitungi, BUGANDO, ONGEZA MITUNGI, NA WATAALAM INAPOBIDI, ILA SASA MIKAKATI YA KWANZA WAKATI WA CORONA INAINGIA TZ IWE LAZIMA SASA, KUANZIA DALADALA,NDOO ZA MAJI ,VITAKASA MIKONO N.K
 
... dunia nzima ni Tanzania tu ndio inapigana vita vya kiuchumi kupitia Corona? Watu wazito kwa wazito; maprofesa kwa maprofesa wameteketea duniani kwa Corona ili kuipiganisha Tanzania vita vya kiuchumi? Kwa lipi hasa? Kuwa serious ndugu!
😆
 
... mpumbavu hujisemea moyoni mwake! Kinywa cha mpumbavu huzidi sumu ya swira; huangamiza kizazi.
Safi sana sasa Kesho usiende kazini au kwenye biashara. Kesho usiende sokoni wala dukani kaa ndani kuna CORONA unywe maji tu utaishi. Jiulize kesho mabasi yote yasiposafirisha abiria itakuwaje? Si kuna CORONA. Kesho maduka yote yafungwe, kuna CORONA. Kesho masoko yote yafungwe kuna CORONA. Kesho kusiwe na usafiri wa aina yeyote kuna CORONA. Kesho ofisi zote zifungwe kuna CORONA. Kuanzia kesho kusiwe na Semina na mkutano wowote hata wa chama cha siasa, kuna CORONA. Kifupi tuvae barakoa tukae ndani wote, kuna CORONA.Mkulima akae ndani kuna CORONA. Jiulize unavaa Barakoa he kwenye Basi hiyo siti toka Asubuhi ulikaa peke yako?, hotelini kikombe na kijiko ulikitumia peke yako?
 
Jamaa naona wamesha tengeneza inayotufaa ili mradi wapige pesa ya chanjo.
 
Habari wadau!

Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.

Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen.

Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa taadhali zikifuatwa ,Mungu atunusuru kwa kweli.

Source: ITV Habari 06/07/2021
Usipaniki mkuu, hii kitu itapita tu, Mungu yupo
 
Back
Top Bottom