Sanamu inajengwa kwa million 420 sawa bhanaView attachment 1843938
Yeye Magifuli ka Manage Kudunda ?Huu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?
Mukngezee na Hili... dunia nzima ni Tanzania tu ndio inapigana vita vya kiuchumi kupitia Corona? Watu wazito kwa wazito; maprofesa kwa maprofesa wameteketea duniani kwa Corona ili kuipiganisha Tanzania vita vya kiuchumi? Kwa lipi hasa? Kuwa serious ndugu!
Kuanzia January mpaka March mwaka huu huku kaskazini watu walivaa barakoa wenyewe...mimi mizunguko na makazi yangu ni Arusha - Moshi nakwambia hali ilikuwa mbayaHuu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?
Tapeli wewe, huna lolote..Moshi nakwambia hali ilikuwa mbaya
Kwanza Chanjo hazina dalali zinatolewa kwa nchi na hazipatikani kienyeji. Pili siwezi kuweka vyetu vya rafiki yangu aliyefariki ili nikufurahishe wewe ! huu ni ujinga !!.Ona laghai lingine hili hapa!
Kwanza hii stori yako haina ithibati yoyote. Huenda umejitungia tu ila kujenga hofu kwa watu..
Ulishawahi kuhoji matumizi ya ruzuku yangefanya nini kama kusingekuwa na ufisadi kwenye matumizi hayo?
Tuliposema Hayati Magufuli bado anaishi mioyoni mwa watu mtuelewe . Hayati Magufuli amefanya mambo makubwa sana ambayo leo hii hakuna anayehoji gharama za sanamu yake , zaidi wale wote wanaopingana na mpango huo kuonekana hamnazo.
Ingesemwa iwekwe sanamu ya yule mbelgiji mweusi naamini usingehoji
Yaani pole Sana mkuu. Halafu unasikia mtu anasema na kutukana eti hakuna Corona. Mimi shangazi zangu wawili waliondoka na Corona. Alhamis iliyopita tumezika Kaka wa ukoo.hospitali marehemu mama yangu alilazwa walikuwa wanatumia VENTILATOR za umeme!sio cylinder!
ila shida ilikuwa umeme ukikatika hadi generator i KICK IN ni about 3mnts mama alikuwa akiteseka sana hadi tunapata taharuki..