Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

ACT watakuwa na Agenda gani sasa na tunaelekea kwenye Uchaguzi?Agenda yao Kuu ilikuwa CHADEMA hawana Ofisi huu muda uliobaki utawatosha kweli kutafuta Agenda Mpya kuu ya kuwachanganya Wananchi?
Mkataba wa hovyo wa bandari zetu kutolewa kwa mwarabu ni hoja nzuri kabisa, muhimu wajue tu, watanganyika sio wajinga.
 
Ya kwao au wamepanga?,kama wamepanga haina maana yoyote ni mafisadi kama mafisadi wengine.
 
Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisi
Alafu unaweza kuta hilo jengo wamekodishwa na Mwenyekiti wao,Mbowe anaijua sana pesa!!
 
Ngoja wafia CCM waje wakiongozwa na yule mzee mkuda!!
Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.

Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.

Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.

Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.

Karibuni sana.View attachment 2674717

Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya
 
Niwapongeze kwa kupanga jengo jipya wajitahidi kulipia kwa wakati.
 
Back
Top Bottom