Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.

Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.

Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.

Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.

Karibuni sana.View attachment 2674717

Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya
WAMEJENGA KWA RUZUKU WAPATAZO AU WAMEKODI TENA?,
 
Waanzishe na ofisini nyingine ndogo Masaki oysterbay, na pale upanga sea view.

Halafu maandamano sasa yawe yananzia huko kuelekea pale panapohitajika.
 
Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.

Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.

Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.

Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.

Karibuni sana.View attachment 2674717

Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya
Eti hicho kijengo ndio kimetafuna Bilioni 2,Chadema acheni utapeli
 
DP Muda ukufika watauza bandari ya bagamoyo waliyoikosa kwa wachina.tusubiri
 
Kwa heshima ya maridhiano hilo jengo liitwe Samia Complex
 
Back
Top Bottom