Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Labda kama walimpora mama yako, hilo ni jengo lao na wamelijenga wenyewe
Rudia kusoma post yangu na nimequote post ipi mbuzi wewe!!! Ninaongelea CCM chama cha Mambuzi kuwa KILIPORA ofisi zilizojengwa na wananchi wote wakati wa mfumo wa chama kimoja!!!
 
Rudia kusoma post yangu na nimequote post ipi mbuzi wewe!!! Ninaongelea CCM chama cha Mambuzi kuwa KILIPORA ofisi zilizojengwa na wananchi wote wakati wa mfumo wa chama kimoja!!!
Samahani mkuu nitakuwa nili quote vibaya am so sorry! Nisamehe Mbuzi mimi.
 
Samahani mkuu nitakuwa nili quote vibaya am so sorry! Nisamehe Mbuzi mimi.
🤣🤣🤣🤣 imebidi nicheke kwa kweli!!!! Na mimi nisamehe kukuita mbuzi. Ulichoniudhi ni kumuingiza Mama yangu kwenye haya majadiliano. Tunapojadili kitu tusiingize wazazi ambao hata hawajui tunafanya nini kwenye hii mitandao. After all wengine walishatangulia mbele ya haki.
 
Nimeshawakaribisha siku ya ufunguzi wafike wenyewe wajionee mjengo kwa macho yao, hapo tutapata nafasi nzuri ya kuwaambia waturudishie bandari zetu zote Tanganyika walizompa bure mwarabu.
Wamejenga au wamepanga. Nauliza tuu msilrushe matusi
 
Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.

Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.

Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.

Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.

Karibuni sana.View attachment 2674717

Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya
Hapo sasa cdm ndiyo tunapoipigiaga ccm goli la kideoni maana hiyo ofisi ni halali kabisa kwa wana cdm.

Ofisi zote za ccm ni mali ya dhuluma maana ni mali za wananchi wote wa Tanzania.

Nakumbuka tulikuwa tunasombeshwa matofali na kuchota maji ya kujengea ofisi za chama lkn leo hii maccm wamejimilikisha nguvu zetu.
 
🤣🤣🤣🤣 imebidi nicheke kwa kweli!!!! Na mimi nisamehe kukuita mbuzi. Ulichoniudhi ni kumuingiza Mama yangu kwenye haya majadiliano. Tunapojadili kitu tusiingize wazazi ambao hata hawajui tunafanya nini kwenye hii mitandao. After all wengine walishatangulia mbele ya haki.
Very sorry!
 
Back
Top Bottom