Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

Pesa za ruzuku mnapelekq wapi!?
Zinawahumia wafuatao ;
Safari za Mwenyekiti mzee Mbowe,mikutano uchwara ya yule mpuuzi ambae alikuwaga mmbunge wa machalii pale Arusha na nyingine ndio zinatumika kuwalipa mshahara wafuatao;
John Mrema,John Mnyika ,GJ Malisa,Dr cyrilo, Aikande kwayu ,mdude chadema na pia kuhudumia familia ya Lissu
 
Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisi
Ccm wana majengo kila kona ya nchi ila serikali yake wameshindwa ata kusimamia bandari.
 
Nimeona picha za jengo jipya la Makao Makuu ya Chadema, jengo lililopo Mikocheni Dar Es Salaam.

Jengo lenye facilities za kisasa kama kumbi za mikutano ya kisiasa, lakini lina afadhali kubwa inayoendana na ukubwa wa chama, ukilinganisha na lile lililoko pale Ufipa Street.

Hapa ndipo panatakiwa kuwa center ya kuanzisha mashambulizi, ili kuhakikisha bandari zetu zote zilizotolewa bure kwa mwarabu milele, zinarudishwa kwenye mikono yetu watanaganyika.

Nawakaribisha johnthebaptist na wenzako siku ya ufunguzi wa jengo hilo itakayokuwa mwezi huu, msiache kuja na simu zenu zikiwa zimejaa chaji ya kutosha ili mjipigie picha nyingi muwezavyo muende nazo nyumbani.

Karibuni sana.View attachment 2674717

Pia soma: CHADEMA yakataa Unyonge, sasa kuhamia kwenye Makao Makuu mapya
Ofisi ya nini tena ,si mlisema Ofisi yenu ni vichwa vya watu?

Weka picha tuthaminishe value money
 
Jengo la kukodi halina maana yoyote. Chama kina zaidi ya miaka thelathini bado kimeshimdwa kumiliki jengo la ofisi
Kwani CCM iliwahi kujenga jengo lipi? Hayo mliyonayo mlipora kutoka kwa wananchi sababu yalijengwa wakati wa chama kimoja kwa nguvu za wananchi wote uwe mwanachama au la!!!

Ulipoanzishwa mfumo wa vyama vingi ilitakiwa mali zote yaani ofisi, viwanja vya michezo, shule n.k viwe vya serikali na kila chama cha siasa kianze a.
 
Uchunguzi ufanyike kuhusiana na hayo manunuzi.
 
Back
Top Bottom