Nikifufukammekwisha
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 260
- 6
Naungana na wana JF wote kujipongeza kwa maoni yetu kufanyiwa kazi na serikali kwani sasa hivi nimeliona tangazo CNN kuhusu Tanzania. Tangazo ilo wamelifanyia modification kidogo kwani mwishoni wameongeza link ya website ya Tanzania Tourist Board (www.tanzaniatouristboard.com), kitu ambacho kiliongelewa sana humu JF kuwa kitasaidia waangalia TV kupata more information about Tanzania in case wakitaka kufanya hivyo.
Hongereni nyote. Matunda yanazidi kuonekana.
Hongereni nyote. Matunda yanazidi kuonekana.