Tanzania ufisadi hadi kwenye utalii cnn !!!

jibabaz

Member
Jun 23, 2008
55
0
LEO KATIKA KUPERUUZ PERRUZ MTANDAO WA CNN KWENYE TRAVEL SECTION NIKITAFUTA PA KWENDA LIKIZO HII NIKAONA TANGAZO KUHUSU TANZANIA

Colorado train finds new life in Pennsylvania - CNN.com

TANGAZO LINAONGELEA TANZANIA NIKAAMUA NI CLICK NIONE KUNANI HUMO..NILIJARIBU MARA TATU MPAKA TANO LAKINI NIKAWA NAPATA LINK YA TANZANIA TOURIST BOARD AMBAYO IKO DOWN

http://tanzaniatouristboard.com/

HII LINK INASEMA KUWA BANDWITH IMESHAFIKIA NA KU EXCEED LIMIT..SASA YAANI WHY WASTE MONEY KUTANGAZA TANZANIA WAKATI HAMNA INFORMATION YA MAANA MTU AKITAKA KUFUATILIA??
JEE HII NI HARUFU YA UFISADI PALE TTB?? NI NANI MKURUNGENZI PALE NA JEE ANAJUA WAJIBU WAKE?
NINAOMBA JINA LAKE NA BIO YAKE KAMA KUNA MWANA JF ANAMJUA..

Usishange, hatuko serious na chochote Tanzania. Mkurugenzi TTB ni Peter Mwenguo na kazi yake kubwa ni kusafiri nchi za nje kwa kisingizio cha kuitangaza Tanzania. Hakuna lolote wanalofanya, ufisadi tu kama wa Sullivan Summit, kusafiri na kukaa kule Arusha kutayarisha mikutano isiokuwa na kichwa wala mguu. Kodi zetu zinatafunwa kweli kweli. Ukitaka kuona hawa jamaa walivyokuwa sick hebu ona jinsi contact zao zinavyoonekana kwenye website hii!

Tanzania Tourist Board Contacts | Tanzania Safaris And ToursTanzania tourist board welcomes you to tanzania the land of kilimanjaro and zanzibar.www.safariweb.com/tanzania/ttb.htm - 8k - Stoa Yetu - Kurasa zinazofanana

Head Office
P. O. Box 2485, Dar-es-Salaam, Tanzania.
Phone : (+51) 27672/3
Fax : (+51)46780.

Information Centre
P. O. Box 2348, Arusha, Tanzania.
Phone : (+57) 3842/3
Fax : (+57) 8256
Telex : 42037.

Contact the board,
or your local travel agent,
or tour operator,
for more information about an
exciting holiday in Tanzania.
 
Contact ya TTB Information office pale Samora Avenue Dar ni +255 22 2120373 na nimefanikiwa kupata cell phone ya Mwenguo +255 784 785308
 
Kwa hiyo wana tangazo lao CNN lakini website waliyoiweka haina hata information za kutosha. Hivi watu wana akili gani? Na hao mawaziri na viongozi wanafanya nini?
 
kwa hiyo wana tangazo lao cnn lakini website waliyoiweka haina hata information za kutosha. Hivi watu wana akili gani? Na hao mawaziri na viongozi wanafanya nini?

tatizo sio bodi ya utalii, wakurugenzi wake wote hawana uwezo na walipata vyeo kwa kukaa muda mrefu hapo (which is government policy kwa sasa kwamba senior position lazma mtu awe bado yupoyupo tu serikalini)

utawala wa mwenguo ni butu na hata ukimdrill new brain hana innovation, ni pure shallow horizon kama tulivyokuwa wengi enzi za nyerere (kumuachia yeye aamue na sisi tufanye)

binafsi naona tatizo ni washauri wa rais wetu kwenye mambo ya utalii na hospitality.... Wanafanya nini??

Finance wanaamua namna ya kuendesha exhibition, power of IT (INFOMRATION TECH) is not recognised by ttb (hamna computerized systems mle (mnabisha?) marketing kwao ni physical - yaani kwenda na per diem; wakati power ya it ni kubwa zaidi; barua ndogo mpaka mikonos kama laki ndio upate jibu (which in most cases inkuwa too late)

asante mtoa mada nadhani washauri wa huyo kaka yetu JK wanaona na wataact ku-change mind-set ya mijamaa pale ips ili kwenda na wakati

nina mengi ya mbolea ntatoa wakati ukifika
 
kuna wakati nilianzisha thread kuhusu websites za tanzania hapa jambo furum nia ikiwa ni kujaribu kufuatilia some websites za taasisi na wizara za Serikali, kwa kweli its shoking story, kuna wizara au taasisi nyingine mpka leo hii hazina website, au kama zipo ni very outdated and useless...! Mojawapo ni ya WIzara ua Utalii na taasisi zake...! Kweli zinakatisha tamaa sana....!
 
Kwa hiyo wana tangazo lao CNN lakini website waliyoiweka haina hata information za kutosha. Hivi watu wana akili gani? Na hao mawaziri na viongozi wanafanya nini?

Na hata hilo Tangazo lao huko CNN lina Mizengwe!!.Ni juzi tu Mheshimiwa Rais alipokuwa New York kuna Mmarekani alimdokeza kuwa anashukuru kwa kuitangaza Kilimanjaro........lakini pia alisema kuwa Tangazo hilo kwenye CNN analiona Rais akiwa USA,punde anapoondoka huwa anaondoka na Tangazo lake!!!Muungwana alicheka.....lakini pia kuna watanzania wanasema maneno ya Mmarekani huyo ni sahihi....."Ukitaka kujua kama Rais yupo Nchi hii angalia Tangazo hilo kwenye Prime Time."
 
Hehehe! bandwidth exceeded maana yake wamechukua host wa kizushi, utakuta zile za $3 kwa mwezi.
Uliza sasa hiyo bei ya kuitengeneza website ndo utalia!!
 
Kwa hiyo wana tangazo lao CNN lakini website waliyoiweka haina hata information za kutosha. Hivi watu wana akili gani? Na hao mawaziri na viongozi wanafanya nini?

Babuu eeh,

washaketi mkao wa kula wanasubiri fweza ya watalii!!!
 
Na hata hilo Tangazo lao huko CNN lina Mizengwe!!.Ni juzi tu Mheshimiwa Rais alipokuwa New York kuna Mmarekani alimdokeza kuwa anashukuru kwa kuitangaza Kilimanjaro........lakini pia alisema kuwa Tangazo hilo kwenye CNN analiona Rais akiwa USA,punde anapoondoka huwa anaondoka na Tangazo lake!!!Muungwana alicheka.....lakini pia kuna watanzania wanasema maneno ya Mmarekani huyo ni sahihi..... "Ukitaka kujua kama Rais yupo Nchi hii angalia Tangazo hilo kwenye Prime Time."

Mwawado...hapa umeniacha hoi na kicheko!!!!
 
Nimefurahishwa sana kujua kuwa hilo tangazo linawekwa once bwana mkubwa akienda huko, what a shame.

Hawa TTB kwanza mimi siwaelewi kabisa, mle ndani sijui kazi wanapeanaje wale watu. Kuna wengine sijui ndugu humo humo. Kule Tourist Information Centre ni uozo mtupu, hawana computer ndiyo maana wanatumia mikonos sana kuandika barua. Wamejaa watu kibao wasio na kazi maalum, wanalala tu. Mimi siwalaumu wale kule Information Centre manake siyo kosa lao bali ni mabosi wao, badala ya kuwapa computer watu wapige mzigo wanakazi ya kusafiri tu. Kule IPS wamejaa wazee tu wamepitwa na wakati ndiyo maana hawatumii computer kwahiyo na wale kule Samora wameona wawaweke wakae bila computer pia. Wana hela nyingi lakini vitu vidogo vinawashinda, wameweka vitripu vya mamtoni ahead of everything.

What a crazy Institution na hiyo wizara yake. sioni sababu ya kuwa na Tourist Board hapa Tanzania kama ndiyo hivi inavyoendeshwa. They should see others how they do it, and take notes
 
Mrope yule Mbunge anasema, wao wameendelea kwani wana Makompyuta. Sasa sisi hatuna ndiyo maana kila kitu hatuwezi. Ukiangalia sana jamaa yuko write. Kwa mawazo ya hawa akina Mrope ni kuwa kuwa Tanzania nzima bado hatuna Makopyuta kibaoo na sana sana tuna Makopyuta tu bila KIBAO.
 
LEO KATIKA KUPERUUZ PERRUZ MTANDAO WA CNN KWENYE TRAVEL SECTION NIKITAFUTA PA KWENDA LIKIZO HII NIKAONA TANGAZO KUHUSU TANZANIA

Colorado train finds new life in Pennsylvania - CNN.com

TANGAZO LINAONGELEA TANZANIA NIKAAMUA NI CLICK NIONE KUNANI HUMO..NILIJARIBU MARA TATU MPAKA TANO LAKINI NIKAWA NAPATA LINK YA TANZANIA TOURIST BOARD AMBAYO IKO DOWN

Tanzania Tourist Board

HII LINK INASEMA KUWA BANDWITH IMESHAFIKIA NA KU EXCEED LIMIT..SASA YAANI WHY WASTE MONEY KUTANGAZA TANZANIA WAKATI HAMNA INFORMATION YA MAANA MTU AKITAKA KUFUATILIA??
JEE HII NI HARUFU YA UFISADI PALE TTB?? NI NANI MKURUNGENZI PALE NA JEE ANAJUA WAJIBU WAKE?
NINAOMBA JINA LAKE NA BIO YAKE KAMA KUNA MWANA JF ANAMJUA..

Nimefurahishwa sana kujua kuwa hilo tangazo linawekwa once bwana mkubwa akienda huko, what a shame.

Hawa TTB kwanza mimi siwaelewi kabisa, mle ndani sijui kazi wanapeanaje wale watu. Kule Tourist Information Centre ni uozo mtupu, hawana computer ndiyo maana wanatumia mikonos sana kuandika barua. Wamejaa watu kibao wasio na kazi maalum, wanalala tu. Mimi siwalaumu wale kule Information Centre manake siyo kosa lao bali ni mabosi wao, badala ya kuwapa computer watu wapige mzigo wanakazi ya kusafiri tu. Kule IPS wamejaa wazee tu wamepitwa na wakati ndiyo maana hawatumii computer kwahiyo na wale kule Samora wameona wawaweke wakae bila computer pia. Wana hela nyingi lakini vitu vidogo vinawashinda, wameweka vitripu vya mamtoni ahead of everything.

What a crazy Institution na hiyo wizara yake. sioni sababu ya kuwa na Tourist Board hapa Tanzania kama ndiyo hivi inavyoendeshwa. They should see others how they do it, and take notes
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom