Hongera Serikali ya CCM kwa ujenzi wa barabara zote za Mwananyamala, kura zetu mtazipata 2025

Shukrani nyingi kwa dar es salaam metropolitan development project, kwa kutoa pesa nyingi kwa ajili ya ukarabati wa barabara za mitaa ya dsm, adi huko tandale ni barabara
 
Mbona nyie wa mjini mnapendelewa sana? Ccm wanajenga barabara za lami mwananyamara wakati sisi huku vijijini hatuna hata barabara za vumbi badala yake tuna njia tu 😢
Itafika mahali watu wa vijijini tuhamasishana tuliamushe dude
 
CCM imeshachokwa, hata mgawe maziwa fresh kila nyumba asubuhi kwenu kuiba kura ni lazima.

Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee Lutangilo Ng'ondya!

Mungu ni mwema wakati wote!
Una uhakika na ulichoandika? Kumbuka hawa watu wamekuwa madarakani miaka 60, wanakudanya kodi yako.

Hata kama ni ukada, miaka 60 ni mingi aisee. Sitoi pongezi.
 
Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee Lutangilo Ng'ondya!

Mungu ni mwema wakati wote!
This is good na ni vizuri hili umelisema mapema, sio baada ya uchaguzi wa 2025, watu waje waibuke ni kulia "tulishinda sisi tumeibiwa kura, wakapewa CCM!".
Kuhusu CCM na Ujenzi wa miundombinu, hata uchaguzi wa 2020, niliwahi kuuliza hivi...
.

Na hata hapa, nilipokutana na Masanja Mkandamizaji...

P
 
Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee Lutangilo Ng'ondya!

Mungu ni mwema wakati wote!
JamiiForums1980995331.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Machame wazee hawana matatizo bwashee!
Tuna matatizo makubwa ya Barabara karibu Machame yote. Mvua na mafuriko ya msimu wa mvua uliopita uliongeza shida kwenye miundo mbinu ya barabara karibu jimbo lote la Hai.

Mbunge wetu Jembe Mafue umetutuliza wasiwasi wetu, kasema barabara hazito kuwa tulivyo zoea kwa miaka mingi kama huko nyuma ambapo barabara zilikuwa zikiharibika ilibidi tuzoee tuu.

Mbunge jimbo letu la Hai Mheshimiwa saana,: Saasisha Mafue, Mungu amuongezee umri, hekima na utendaji bora na asiwe mbunge wa kutundika koti kwa kipindi choote cha miaka mitano..
 
Back
Top Bottom