Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
[/COLOR][/SIZE]
Mmmmmmhhhhhh
Usigune best, inatoka moyoni hii!
[/COLOR][/SIZE]
Mmmmmmhhhhhh
Hapana mama si kwamba sitaki upate nataka sana tu, ila we nitaarifu tu moyo wangu utatulia!Gene kumbe hutaki mimi nipate jamani,,basi nikitaka kupata ntakuomba ruhusa,,,lol
Karibu sana, ni kitu cha kiukweli sana lakini sharti mwanao apandishe kidato.Hongera sana Mzee wa Rula...Muda si mrefu nitaleta posa Mungu akijaalia....
Wa pili wa kwanza alikuwa ni kike hali kadhalika huyu naye, nashukuru Mungu sana.hongera Baba!!!! ni wa ngapi?
Usigune best, inatoka moyoni hii!
Ni lazima awe mpiganaji kama Halima Mdee na wengine wanaofanania na juhudi za ukombozi wa UFISADI.Mkuu Kilimasera, ni kama :
Anna Makinda, na
Anne Makinda!
ha ha haaa si unajua za kibongobongo?
Iam afraid its too late!
Kuna member toka Dom anaitwa Damie alikuwa wa kwanza jana kuwasili hospital, akafanya booking kwaajili ya kaka yake!... Ukichanganya kibebigal kilivyo heartbreaker ndo balaa tena!
Ni lazima awe mpiganaji kama Halima Mdee na wengine wanaofanania na juhudi za ukombozi wa UFISADI.
We mtu si umetoka kumfungulisha mkeo jana tu? Unafanya nini huku? Partenity leave imeisha?
Hebu nenda kamtengenezee mama watoto supu ya kongoro kule. Huku WiseLady atakuwakilisha mpaka naye atakapojifungua.
ODM hapo ndo nnapokupendea maana huwa unaongea on my behalf,,,,,najua kitu ntakupa
Bro mbona hukunipa taarifa kama mlikua hapo hospital? Maana nina mgonjwa hapo seliani na jana nilikuwa hapo.
Nashukuru mkuu.Mkuu Mzee wa rula hongera sana....