Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

hahaaaaaa kwanini hataki zawadi??hiyo ni birthday lazima akubali hata akija kuzigawa sie tutachojali kwamba amepokea shukrani zetu na za kwa mwenyezi mungu kwa kutupa zawadi ya mtoto wa kike!!kweli tujitahidi sana kuwalea hawa watoto mungu ametujalia kwa upendo wote na rehema zake zote
Mzee wa rula anasema kwamba anaruhusu watu kumtumia muda wa maongezi tu... pamperz alishaziandaa mapema!
 
Hongera sana mwana familia mwenzetu wa JF mzee wa rula na familia yako!

Natambua kuwa Mungu amewajalia mtoto wa kike jana jumapili saa 6.30 mchana hapo Selian (LMC) Arusha.

Tunawaombea mama na mtoto afya njema,,zaidi tunamuombea mtoto akue ktk maadili mema.Hongera sana!

WL

Haksante saana Wise Lady kwa taarifa hii nzuri saana. Hongera saana mzee wa Rula kwa kujaliwa huyo binti, Mungu amlinde na kumkuza katika dunia yetu hii tunajitahidi kuijenga. Hongera mzee hayo ni maongezeko ya mjukumu. Ubarikiwe.
 
khaa kilmasera nimeingia na thread ngapi mimi hapa mpaka wana jf washanchoka,,,, wee ulikimbilia wapi kwani??? Mie alhamdulilah,,,
vipi mambo yanakwendaje na afya pia maana toka ulipoaga kipindi kile hatukuweza kujua ulifanikiwa!pole sana
 
Familia inakua....haka kabinti nakatabiria katakua ka-admin ka jf miaka 25 ijayo...
Hongera Mzee wa Rula....ujio huu ulete faraja kwenu...
 
shule imebana sana tulikua na pepa hapo katikati lakini hata hivyo nilikua najitahidi sana mida ya usiku kuingia kweli sikuwahi kuona tunamshukuru mungu kwa hilo akujalie afya njema na uzima zaidi!
khaa kilmasera nimeingia na thread ngapi mimi hapa mpaka wana jf washanchoka,,,, wee ulikimbilia wapi kwani??? Mie alhamdulilah,,,
 
ni kweli pakajimmy majina hua yanachanganya sana sijui kwasababu hua tunayachukua tu kutoka kwa wageni then kwenye utamkaji kuna kiswahili na kiingereza nilimuona anna makinda nae anasahihisha jina lake kwa vyombo vya habari nikacheka sana
Mkuu Kilimasera, ni kama :
Anna Makinda, na
Anne Makinda!
ha ha haaa si unajua za kibongobongo?
 
Hongera sana! mwanamke bila mwanaume inawezekana lakini sio mwanaume bila mwanamke, umeleta kitu muhimu sasa humu duniani, hongera tena!
 
Hongera sana Mkuu kwa kumpata mtoto TENA mzuri wa kike, Mungu awape afya ya roho na mwili ili mtoto akue vizuri kabisa. Asante mama WL kwa taarifa, uungekuwa ni wewe umepata ningeandamana!
 
Hongera sana Mzee wa Rula...Muda si mrefu nitaleta posa Mungu akijaalia....

Iam afraid its too late!
Kuna member toka Dom anaitwa Damie alikuwa wa kwanza jana kuwasili hospital, akafanya booking kwaajili ya kaka yake!... Ukichanganya kibebigal kilivyo heartbreaker ndo balaa tena!
 
Hongera sana Mkuu kwa kumpata mtoto TENA mzuri wa kike, Mungu awape afya ya roho na mwili ili mtoto akue vizuri kabisa. Asante mama WL kwa taarifa, uungekuwa ni wewe umepata ningeandamana!

Gene kumbe hutaki mimi nipate jamani,,basi nikitaka kupata ntakuomba ruhusa,,,lol
 
Back
Top Bottom