Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

Iam afraid its too late!
Kuna member toka Dom anaitwa Damie alikuwa wa kwanza jana kuwasili hospital, akafanya booking kwaajili ya kaka yake!... Ukichanganya kibebigal kilivyo heartbreaker ndo balaa tena!

Bro mbona hukunipa taarifa kama mlikua hapo hospital? Maana nina mgonjwa hapo seliani na jana nilikuwa hapo.
 
Ni lazima awe mpiganaji kama Halima Mdee na wengine wanaofanania na juhudi za ukombozi wa UFISADI.

We mtu si umetoka kumfungulisha mkeo jana tu? Unafanya nini huku? Partenity leave imeisha?

Hebu nenda kamtengenezee mama watoto supu ya kongoro kule. Huku WiseLady atakuwakilisha mpaka naye atakapojifungua.
 
We mtu si umetoka kumfungulisha mkeo jana tu? Unafanya nini huku? Partenity leave imeisha?

Hebu nenda kamtengenezee mama watoto supu ya kongoro kule. Huku WiseLady atakuwakilisha mpaka naye atakapojifungua.

ODM hapo ndo nnapokupendea maana huwa unaongea on my behalf,,,,,najua kitu ntakupa
 
Hongera Sana kwa kujaliwa mtoto wa kike,Mungu Amtunze na Kumlinda katika maisha yake yote.
Mzee wa Rula na mama nanyi pia Mungu awajalie maisha marefu yenye Afya muweze kumlea mtoto wenu vizuri na familia yenu kwa ujumla
 
Kwa Wana JF wote mlionipa hongera na watakaonipa hongera mara baada ya kusoma thread hii, wote kwa pamoja nawashukuru sana. Ni kweli mke wangu amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya operation, kutokana na mtoto kukaa vibaya. Nashukuru Mungu mke wangu na mtoto wote wanaendelea vizuri, hali kadhalika mimi mwenyewe binafsi maana nilishock baada ya kuambiwa mke wako ni lazima afanyiwe operation ili kunusuru maisha yake na mtoto kwa ujumla.
Zaidi ya yote namshukuru kiongozi wangu PakaJimmy kwa kunifariji kipekee baada ya akili yangu kuamini kulikuwa na namna hadi mke wanhu kupelekea afaanyiwe operation. Hii ilitokana na ukweli mtoto wangu wa kwanza mke wangu alijifungua salama kwa njia ya kawaida. Anyway nilikubaliana na ushauri ule na mpaka sasa nipo Ok kabisa.
Mwisho nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitamshukuru WiseLady kwa kupost thread hii ambayo mpaka sasa umma mzima wa JF wanajua nina mtoto wa kike.
Ninaawaomba radhi kuto log inn immeadetly punde thread ilipokuwa hewani kwa sababu nilikuwa njiani kurudi home nikitokea hospitali.
 
ODM hapo ndo nnapokupendea maana huwa unaongea on my behalf,,,,,najua kitu ntakupa

Jamani hiyo bold ni macho yangu au nimepasoma vibaya. Hebu mtu mmoja anisomee kwa sauti tafazali.

Mi naogopa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom