Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

All the best to the baby and mother, congratulations sir.

Note: ulitakiwa uwe paternity leave kusaidia mama na kuzoea mtoto, pumzika janvini!
Wote tunamshangaa huyu chalii aisee!...

Halafu we chalii MwR angalia sana yule hausigeli wako...ninavokujua wewe...sijui kama patakucha salama, na hivi shemegi yuko hospitalized:A S-coffee:...tuombe mungu!
 
Wote tunamshangaa huyu chalii aisee!...

Halafu we chalii angalia sana yule hausigeli wako...ninavokujua wewe...sijui, na hivi she yuko hospitalized:A S-coffee:...tuombe mungu!
Pj, hahahaaa! Jamaa anaambaa kwenye kona ya rula sio?
 
Wote tunamshangaa huyu chalii aisee!...

Halafu we chalii MwR angalia sana yule hausigeli wako...ninavokujua wewe...sijui kama patakucha salama, na hivi shemegi yuko hospitalized:A S-coffee:...tuombe mungu!
Baba nimeibuka na mbadala kama wa babu wa Loliondo, yaani nashinda hospital kama na mimi nimepigwa kisu. Tehe tehe tehe, housegirl yuko home kivyake!
 
Back
Top Bottom