Hongera kwa wote walioamua kuoa

Trust me hii ndiyo kero kubwa kuliko zote ndani hasa ukiwa umeoa housewife muda mwingi anaangalia tv na kuchati ukirudi anataka amalizie hamu yake ya kuongea ya mchana kutwa na aimalizie kwako.

Wewe wakati huo umechoka umeishia kupiga kagoli kamoja chali mwenzako ndiyo anaanza sasa zile mbele mbele mbele mbele.
Wewe hapo unabaki kuitikia tu aoooh akiona unasinzia anakutikisa kidogo uamke

unaweza ukarusha ngumi aisee
 
Kifupi bado upo kwenye 20's, ni ngumubsana kuelewa haya mambo...ila jua tu hakuna kitu muhimu kama kuwa na mwenza na haswa ukipata mtakaeelewana , Kuna dharula za kiafya ambazo si dada, mama au hata baba ataweza kukuhudumia. Kuna muda utavurugwa kichwa mke ndiyo atakutuliza. Subiri Ufike umri wa kutuliza kichwa ndy utaelewa.
Ahsantee, akikua ataelewa umuhimu wake
 
Yaani mkuu wewe ungekutana na mimi nnavolala vibaya mkono mmoja kusini mwingine magharibi mixer kukoroma sijui nahisi ungenifukuza kesho yake😂
 
Kuoa raha sana.
Hasa upate "Soulmate"

Hata hii 5*6 naiona ni kubwa.
Vijana oeni. Mfaidi raha za dunia.

Cc Mwifwa
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi!

Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee

Mwanamke akilala kwangu siku mbili tu naboreka! Napenda zaidi short time sipendi kulala tumebanana kama jela.


Kaka kuna wanawake wengne huwachok bado hujapenda wala kukutana na mnato wa kukufinyia ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom